kabwe katal
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 264
- 289
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britaniccamkuu taarifa zako n
Taarifa zako ni za uhakika ulituambia july kuna jambo litatokea kweli limetokea.tupe codes za october mkuu.Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca