Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Vishindo vipo sana tu lkn .. .. mama kubwa hang'oki.. ... ..ishapangwa ..hayo mengine ni urembo tu.. .. !
Naungana na wewe Kwa mustakabali wa afya yangu ya akili...nisijijaze matumaini hewa mwisho nikabaki na sonona!
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Kampeni inaanza lini?
 
Watasema yote lakini nyuma ya yote hayo hawana cash,easy,majitu yenyewe yanakopa kila siku,shit
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Wapuuzi hao wanajadiliana kugawana vyeo wakisha gawana vyeo na rasilimali za taifa hao wote kina Gwajima na pole pole utawaona wakiingia mitaani wakieleza uzuri wa kibibi cha kizimkazi. Na hapo hazina itakuwa imeisha kauswa. .
 
Una uhakika mbunge alijavunjwa?

Juzi baraza la mawaziri lilivunjwa, hoja yangu inawezekana vipi baraza livunje kabla ya bunge?
Elimu elimu elimu kama lowasa angeshinda angekukomboa kwa hii sera endapo angeshinda
 
Mgombea mwenza, Nchimbi, ni KATIBU MKUU WA CHAMA!

Pagumu sana hapo HAKUNA KITAKACHOBADILISHWA! na Samia alimteua KWA MAKUSUDI! SIO KWA BAHATI MBAYA!

Alieshika mwiko tayari anakaribishwa mezani! Kula vilivyo andaliwa tayari!(AKIWA MAKAMU WA RAISI!), ya nini ahangaike kuendelea kuungua na moshi?!
 
Limevunjwaje wakati unaina mawaziri bado wanazurula
Mimi mwenyewe nimeshangaa hii kitu wakati Bi Dorothy Gwajima anapiga kazi kaweka tangazo la kikao na wafanya biashara wadogo.
Bwana Mchengerwa alienda Jimbo la Ukonga majauzi tu kukagua mradi wa barabara.
misasa fuatilia vizuri mkuu.
 
Kweli ngoja nifuatilie maana mkanganyiķo mkuu
 
Back
Top Bottom