Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

We bwege tafuta kazi ya kufanya. Ht waahirishe mpk Septemba ww unawashwa na nini, ndio maana mnaishia kulalamikia umaskini unapoteza muda wako ktk mambo yasiyokuhusu. Nashindwa kuelewa mwanaume mzima unawashwawashwaje na jambo lisilokuhusu? We utakuwa msenge unashabikia ujuha
Nenda kamteke.
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Lugha ni moja tu inayo eleweka kwa wananchi sasa: "NO REFORM, NO ELECTION".

Hayo ya mikutano Mikuu ya CCM yanawahusu Samia na GENGE lake, dhidi ya wanachama wa chama halisi cha CCM.
Wayamalize huko huko wenyewe
 
Kila kitu
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Kila kitu kinacheleweshwa.Venance mabeyo alisema kulikukuwa na kitu.ukiona generali wa jeshi anazungumza kwa hisia ujue ilikuwa shughuli kubwa. kwa hiyo ingekuwa ajabu sasa hiv mambo yaende smooth like that. Watanganyika wanyuti tuuu.

Japo siamini sana katika siasa za Africa.lolote linawezekana ze way mtu mwenye dola anataka iwe
 
Mtashangaa jinsi ccm itakavyochukua point zote tatu muhimu. Itoshe tu kusema kwa mtu yeyote mwenye akili kidogo tu anajua kuwa mchakato wa mgombea urais chamani ulishaisha
 
Ikitokea watu wanaharibu inabidi watusaidie tu maana watu wameingia tamaa sasa
Unawajua lakini wale wakishaonja madaraka? Utaomba serikali ya kiraia irudi.
 
Km nchi ni ya kikundi Cha watu au mtu binafsi tutahama ila Kama sio ya mtu hatuhami
Na itajulikana nani ni Mungu kati ya huyo mtu wenu na Mungu aliyeimba mbingu na nchi!

Uzuri Bado siku chache tu
Oktoba ndiyo mtamjua msoga ni Mungu au Binadamu.
Kama vipi hamieni Burundi
 
Mtashangaa jinsi ccm itakavyochukua point zote tatu muhimu. Itoshe tu kusema kwa mtu yeyote mwenye akili kidogo tu anajua kuwa mchakato wa mgombea urais chamani ulishaisha
CCM kubadilisha mgombea sasa itakuwa ni suicide mission isitoshe kama Mama aliwapiga bao January, walitakiwa kuanza hizi virugu mapema. Kama Uchaguzi utafanyika Octoba; August, Tume inatangaza tarehe ya uchaguzi, hadi Octoba 28 hivi zoezi la kuchukua na kurudisha fomu za uchaguzi litafungwa (kwa kuangalia kalenda ya 2020) na mika mingine ili kampeni zifanyike kwa 60 days...

Muda umewatupa mkono kina polepole; ukweli ni kuwa wananogesha tu - lakini nadhani wanalenga zaidi 2030. Watu wataelewa mwishoni na CCM itakuwa imechukua point tatu za bure kabisaaaaa.
 
Aisee halafu sababu alizotoa makala hazina hata mashiko,hapa Kuna habari nzuri tutaipokea ni suala la muda tu
Hakika yake Mungu Yuko kazini
Nataka nione after prayer & fasting ya 90 days hao wanaojiona miungu watu na machawa wanatobolea wapi...

Km Mungu aishivyo ,wa kuzika tutazika ,wataokatubu watapona ila itajulikana km alivyosema Elia ,na ijulikane Leo ... Yuko Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, Jehova, Yahweh......

Meme mene tekeli na peresi..,.
 
We bwege tafuta kazi ya kufanya. Ht waahirishe mpk Septemba ww unawashwa na nini, ndio maana mnaishia kulalamikia umaskini unapoteza muda wako ktk mambo yasiyokuhusu. Nashindwa kuelewa mwanaume mzima unawashwawashwaje na jambo lisilokuhusu? We utakuwa msenge unashabikia ujuha
We jamaa unajikuta bingwa wa matusi sana?
 
Back
Top Bottom