Mkutano uliofanyika Dar es salaam tarehe 08.02.2025 na kutoa maazimio ya juu ya mgogoro wa DRC na M23 ni bure na kupoteza muda pamoja na fedha

Haya mambo ya diplomasia dogo
 
Kwa hiyo ulitaka utangaziwe kuwa "Rais x amezichapa na Rais y wakati wa kikao" na marais wengine wakawaamuru waache kupigana na ndipo ungeona kikao kina maana?
hv Rwanda ndo taifa la kuwaweka watu kikao ? ifike muda waafrika tuangalie mbali , hii tabia tunailea kesho Kenya ataiga , kesho Misri atafuata , hii tabia itakuwa endelevu na itasababisha bara la Afrika liingie kwa zama mbaya ambazo kuisha inaeza kuja chukua hata miaka 1000 , Rwanda ilibid iwe chambo , ukanda mzima Kusini , Mashariki na Kati tuungane kumbonda vilivyo ili wengine waache ubabe wa kishamba , Rwanda anatumia udhaif wa DRC kujimwambafai
 
Mimi nilijua halitakuja na anybtangible decisions. Wala sikufatilia kabisa.
 
PK anajua african prezidaa wanavyopatikana, anajua ni weupe vichwani, anasema there are idiot leaders. Anajua hakuna mtu wa kumfanya chochote
 
Mimi naona M23 ni mchanganyiko wa Wakongoman na Watusi ambao wana nia ya kuipindua serikali ya Kongo.
Najiuliza huyu Kiongozi wa M23 siyo Mkongoman kweli?
Gen.Sultan Makenga
 

Attachments

  • images (11).jpeg
    26 KB · Views: 1
Mimi naona M23 ni mchanganyiko wa Wakongoman na Watusi ambao wana nia ya kuipindua serikali ya Kongo.
Najiuliza huyu Kiongozi wa M23 siyo Mkongoman kweli?
Gen.Sultan Makenga
Je, una maana gani hasa unaposema kwamba "Mimi naona M23 ni mchanganyiko wa Wakongoman na Watusi" ? Nini uhusiano uliopo kati ya WaCongoman na Watusi? Nini tofaufi iliyopo Kati ya makundi haya mawili ya Watu,; WaCongoman na Watusi?
Kwani Watusi hawawezi kuwa WaCongoman?
 
Hili ndilo linaiangusha DRC. Mkataba wa Lemela ulikuwa zaidi ya kikoloni.
 
Kwann unaamin kila sehemu nguvu itumike ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…