Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ya diplomasia dogoTatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama waasi wa m23 wataendelea kuonekana maeneo hayo.
Au lingetoka azimio la pamoja kuwataka waasi waondoke ndani ya masaa 24 vinginevyo viongozi wa nchi zote za SADC na EAC zi deploy makomando Kivu.
Kwa hali hii Kagame atatutawala sana EAST AFRICA na Afrika
Soma:Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC
hv Rwanda ndo taifa la kuwaweka watu kikao ? ifike muda waafrika tuangalie mbali , hii tabia tunailea kesho Kenya ataiga , kesho Misri atafuata , hii tabia itakuwa endelevu na itasababisha bara la Afrika liingie kwa zama mbaya ambazo kuisha inaeza kuja chukua hata miaka 1000 , Rwanda ilibid iwe chambo , ukanda mzima Kusini , Mashariki na Kati tuungane kumbonda vilivyo ili wengine waache ubabe wa kishamba , Rwanda anatumia udhaif wa DRC kujimwambafaiKwa hiyo ulitaka utangaziwe kuwa "Rais x amezichapa na Rais y wakati wa kikao" na marais wengine wakawaamuru waache kupigana na ndipo ungeona kikao kina maana?
Diplomasia ama unafiki?Haya mambo ya diplomasia dogo
Mimi nilijua halitakuja na anybtangible decisions. Wala sikufatilia kabisa.Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama waasi wa m23 wataendelea kuonekana maeneo hayo.
Au lingetoka azimio la pamoja kuwataka waasi waondoke ndani ya masaa 24 vinginevyo viongozi wa nchi zote za SADC na EAC zi deploy makomando Kivu.
Kwa hali hii Kagame atatutawala sana EAST AFRICA na Afrika
Soma:Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC
Je, una maana gani hasa unaposema kwamba "Mimi naona M23 ni mchanganyiko wa Wakongoman na Watusi" ? Nini uhusiano uliopo kati ya WaCongoman na Watusi? Nini tofaufi iliyopo Kati ya makundi haya mawili ya Watu,; WaCongoman na Watusi?Mimi naona M23 ni mchanganyiko wa Wakongoman na Watusi ambao wana nia ya kuipindua serikali ya Kongo.
Najiuliza huyu Kiongozi wa M23 siyo Mkongoman kweli?
Gen.Sultan Makenga
Hili ndilo linaiangusha DRC. Mkataba wa Lemela ulikuwa zaidi ya kikoloni.DRC is a failed state.
Utawala uliopo huko upo dhaifu Sana.
Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo pia lipo dhaifu Sana kupita kiasi.
Jeshi la DRC lipo uchi wa mnyama kwa Utawala wa Rwanda.
Kuna uasi wa chini chini usiokwisha ndani ya Jeshi la DRC.
Wanajeshi wengi sana wa DRC pia ni Wapiganaji wa Siri wa M23.
Viongozi wengi wa Serikali ya DRC pia ni Mawakala wa Siri wa Utawala wa Rwanda na Vikosi vya Waasi wa M23.
Try to imagine: General Kabarebe aliwahi kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi hiyo ya DRC, lakini baadaye Mwanajeshi huyo alihama nchi na kwenda kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi ya Rwanda.
Wewe uliwahi kuona wapi jambo la namna hii?
Kwann unaamin kila sehemu nguvu itumike ?Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.