Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

Ataenda kuongea nini kule. Halafu kule hakuna wa kumfokea au wa kumwimbia taarabu za majungu
 
Ajenda kuu ni serikali za nchi wanachama kutambua na kushirikisha sekta binafsi katika kukuza uchumi. Una hoja nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajenda kuu ni serikali za nchi wanachama kutambua na kushirikisha sekta binafsi katika kukuza uchumi. Una hoja nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh unataka kuniambia kufoka kwa kidhungu aka kithungu ni shida eehe
Ukitaka kuishi kwa amani nyumbani kwako weka sharti kwa mkeo kwamba akitaka kuleta zogo lazima atumie english. Hamtakaa mgombane maisha hata kama ni mzaramo mwenye maneno mengiiiii. Sababu ni kwamba hawezi kuwa na uwezo wa kuunganisha neno hadi neno huku akifoka!
 
pass my condolences to the Great Britain. Rest in peace English
 
Acheni utani jamano..wote tunayajua mapungufu ya mkulu wetu..miacheni bana hayuko perfect acha atatue ya ndege kwanza
 
Siku alipokuwa anamporomeshea Matusi Jakaya kwny Uzinduzi wa Bunge Nov 2015 kuhusu Safar za Nje tulifurahia sana, acheni anyooshe Nchi aliyoachiwa na Rais Dhaifu
 
Unataka makinikia yatoroshwe bandarini ?
 
Siku alipokuwa anamporomeshea Matusi Jakaya kwny Uzinduzi wa Bunge Nov 2015 kuhusu Safar za Nje tulifurahia sana, acheni anyooshe Nchi aliyoachiwa na Rais Dhaifu
rip english
 
Kama mikutano hii ingekua n darasa basi awam ikiyopita tungekua zaid ya yuesiei... ila ninyi wapinzani mnakera mno hata hamuelewek
 
Hii kweli hata kwa vikao vinavyoendeshwa kwa English..wale wabishi wetu hugeuka kuwa wapoleeee
 
Kule kudrive ule msafara ni balaa, sasa kaona bora abaki tu maana tungemtafuna angefuja hela zetu. Ndege ni shida kwake.
 
Kwa kweli Mh.Rais anatufanya tumfikirie vingine kabisa japokuwa sio yeye asienda huko.

mafisadi hayana rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…