Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

Kwani makamu akienda kuna shida gani?? Atakayoambiwa si atayaleta??

Hivi visababu vya kitoto achana navyo, nguvu zetu tuzielekeze accasia kwanza na deni la wakanada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashukuru amepata makamu aliyesoma Lucky vicent bila hivyo tungekoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
na hatakwenda mpaka siku mkutano wa SADC utakapofanyikia chato

kama ishu ni kubadilishana uzoefu....Rwanda panatosha.
 

mwacheni. wa awamu ya nne mlisema anasafiri sana.kana kwamba alikula miguu ya kware. huyu hasafiri kutwa kulalama.
 
U
Lack of Exposure..
Poor in International Diplomacy..
Language Improficiency..

He is suffering from the above three main diseases..
Sidhani kama atakuja kuhudhuria sehemu huyo.
Unajifanya kupoteza kumbukumbu ww ..AU alienda mkachakachua vedio Yake.

Mtashindana nae lakini atashinda
 
Hawezi kaa na kundi la mafisadi na wapenda madaraka wanaweza muambukiza
 
sadc ipo imara tofaut na eac.angalia wanachama wa sadc na fananisha na eac km hujatapika.eac ni madikteta na nchi zao maskini wakati sadc hufuata utawala bora angalia chaguzi zao fananisha na eac aibu tupu.japo sadc kuna wanachama wachache wanaoirudisha nyuma km tz na congo.
 
Sio lazima ahudhurie,enzi za kikwete mlimuita vasco da gama,mwacheni Magufuli wetu apige kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…