Hivyo ni vitu vya kukariri, dunia sasa inahitaji creactivity.Bro; jamaa anafahamu hadi baharini kuna mayai na vifaranga wangapi wa samaki. Usilete mas'khara tafadhali.
Mtasema sana kuwa havina mantiki kwa vile mavi ya bomberdie mliyokuwa na nia ya kuyaficha sasa yananuka.Mnakera na hivi vijiandiko visivyo na mantiki.
Aende tu na mkewe, ili kila akitoka ktk vikao apate wa kumfokea chumbani.Mikutano kama hiyo ni ya watu wenyehekima zao, siyo kurusha mikono kama unapiga mbizi.
Wanamsifia au wamnanga?Kama mabilion yanamfuata hapa nyumbani kutoka kwa mamilionea na nchi kuu mbalimbali kumsifu kwa kuendesha nchi vizuri kuliko hata hizo nchi zenye exposure nyingi , what else do you need,aende for Tourism? Tayari anawakilishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atupe nafasi ktk ile mikutano yake ya kurusha mikono aone.tuna usongo naye.Hahahhahaha
Naona Leo mmeamua kumtolea uvivu ati!.
Kumbe hata hujui mkutano unahusu nini. Ulitakiwa ufuatilie ujue agenda kwanza kabla ya kuja na lawama. Mi najua pamoja na issue nyingine kuna kujadili usalama na Tz kukabidhi uenyekiti wa kamati ya usalama kwa Swaziland
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo yai, a.k.a ngeliHeshima Kwenu,
Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.
Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.
Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.
Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehee! Kumbe na zamu ya kuyalinda.Unataka makinikia yatoroshwe bandarini ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani wewe mtumishi wa Ikulu unataka udownload Ikulu bila aibu
Hehehehee..Mkuu sio afate, ni "afuate"
Kadhalika jifunze punctuation. Koma (,) huja baada ya neno na si kabla ya neno
Sasa kama jambo dogo tu hujui, vipi uzungumzie kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakalimani man ..usiwe mshamba hivoLack of Exposure..
Poor in International Diplomacy..
Language Improficiency..
He is suffering from the above three main diseases..
Sidhani kama atakuja kuhudhuria sehemu huyo.
Kwahiyo akienda ndo itazuia mihela ya wasaka vyetu isije mkuu!?!?Kama mabilion yanamfuata hapa nyumbani kutoka kwa mamilionea na nchi kuu mbalimbali kumsifu kwa kuendesha nchi vizuri kuliko hata hizo nchi zenye exposure nyingi , what else do you need,aende for Tourism? Tayari anawakilishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna ana ogopa watu wa kibitiLabda anadaiwa sehemu tofauti tofauti anaogopa wamzuie kama lile panga boy
Kabisa....sidhani kama lugha ni sababu ya msingi.Kuna wakalimani man ..usiwe mshamba hivo
Duuuh, mara ushageuka kuku!!Ahudhurie akaongee nini?kule hakuna anayependa kufundishwa kutumia mabavu kwa watawaliwa wake,kuua upinzani,wale wana akili zao.na wanakubali kupangiwa na wananchi wao kwakua ndio walio waajiri.huyu kachukua fomu mwenyewe na kawawekwa hapo alipo na lubuva.Mungu sikuiti uhukumu ila shuka,ili ushushe kuburi cha huyu mungu bahari.Mungu mtu huyu amejiinua kuliko upeo,Wewe na uliowaumba, kwake sio kitu.tuonyeshe uwezo wako juu yake ili ajue hawezi kushindana nawe,Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumziba mwenzako mdomo!!Mkuu sio afate, ni "afuate"
Kadhalika jifunze punctuation. Koma (,) huja baada ya neno na si kabla ya neno
Sasa kama jambo dogo tu hujui, vipi uzungumzie kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamaniAende tu na mkewe, ili kila akitoka ktk vikao apate wa kumfokea chumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app