Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wana wimbo wao na bendera yao,hawajaiba kama sisi tulioiba Nkosi si kereli.Hongera kwao....inakaribia miaka saba sasa tangu watume maombi yao.
Naiona Zanzibar ikifanya vizuri kuliko Tanganyika Stars!
Sasa ikitokea tunacheza nao katika mashindano ya Afcon.......timu kutoka Tanganyika itapeperusha bendera gani?
Itaimba wimbo upi wa Taifa
Wachezaji Wote wanatokea bara...Shirikisho la soka barani Afrika limepitisha bila kupingwa kuwa Zanzibar ni mwanachama wa CAF. Wanakuwa wanachama wa 55.
Hawa ni baadhi ya wachezaji wenye asili ya zanzibar..wakijiandaa vizuri watakuwa na timu bora.
Mwadini ally
chollo
mwinyihaji
morris
canavaro
makapu
Mudathir yahya
Mohammed issa
Ibrahim jeba
Ame ally
Amir amour janja
Awadhi juma
Khamis mcha viali
Nyinyi ni Tanganyika bhana!Game kati ya Zanzibar na SISI, sisi tutajiiita Tanzania Bara kwa unafki wetu!
Ni kwasababu ya Uelewa Wako Muungano wetu uko Tofauti sana na Great Britain.Great Britain *Uingereza) ni muungano wa Visiwa vya Scotland, Wales na Ireland. Hapa kila kisiwa ni mwanachama wa chama cha Mpira Ulaya; Sasa kuna ubaya gani kwa Zanzibar?
Na Dalili za Moto ni Moshi Ukifuka Sana lazima Uwake.Dalili za Mvua ni mawingu hata kama mnatumia vibatari kazeni hapo hapo
Ule mwaka kilimanjaro stars na zanzibar herous wamekutana kombe la challenge super sport wakionesha mubashara waliandika " Tanzania vs Zanzibar"Game kati ya Zanzibar na SISI, sisi tutajiiita Tanzania Bara kwa unafki wetu!