Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

Hiyo logo ina makosa, 'chamba cha soka cha zanzibar' kweli?
 
Baaada ya CAF sasa watadai na dola yao kamili! Acheni kupumbazwa na fisiemu piganieni mamlaka yenu kamili msifitinishwe kwa vyam vya siasa amkeni nyie wagunya na wapemba
 
Baaada ya CAF sasa watadai na dola yao kamili! Acheni kupumbazwa na fisiemu piganieni mamlaka yenu kamili msifitinishwe kwa vyam vya siasa amkeni nyie wagunya na wapemba
Halafu mie nawashangaa kweli hawa jamaa, don't you have any pride?
 
Hongereni,ila wa FIFA hamtapata kwa sababu Zanzibar siyo nchi - haina dola,haina mipaka nk.
Kwani na hiyo CAF si iliwekewa mikwara? Mwanzo tu huo [emoji466] [emoji776] [emoji460] [emoji469] [emoji322] [emoji322] [emoji322] [emoji322] [emoji322] [emoji322] [emoji322] [emoji312] [emoji312] [emoji312] [emoji312]
 
TFF hawakujua nini
Walijua mkuu, kama ulimsikiliza kocha wa taifa stars alipokua anatangaza majina ya wachezaji wa taifa stars alisema, "sijachagua mchezaji yoyote kutoka visiwani kwasababu yawezekana wakapata uanachama wa CAF, laa kama hawatapata, nitaongeza wachezaji 4 kutoka Zanzibar"
Swali langu ni hili sasa, wale wachezaji kutoka Zanzibar wanao chezea Yanga, SImba na/au Azam, kuanzia sasa watakua wanahesabika kama walivyo kina Okwi sio?
 
Kilichobaki ni wazanzibar kudai uhuru wao ili wajitoe mikononi mwa mkoloni aitwaye Tanganyika. Shime wazanzibar, wakati ni huu.
 
Itakuwa kama UK
 
Maumivu huanza taratibu. Haya yameanzia kwenye gozi kama yatafika FIFA homa itapanda. Kimataifa sjdhani kama kuna nchi inaitwa Tanzania Bara. Sasa bandugu mtajiitaje na wengi wenu wanadai hawaijui Tanganyika?
Itaitwa hivyo hivyo yaani Tanzania, kama ilivyo Sudan na Sudan Kusini
 
Ni jambo jema lkn kwa nionavyo ndo tunavunja Muungano wetu taratibu.....Kesho mtakuja sikia wamepewa kiti UN. hongeren waznz kwa tekinik mnayoenda nayo. Mtafaulu tu
 
Ni jambo jema lkn kwa nionavyo ndo tunavunja Muungano wetu taratibu.....Kesho mtakuja sikia wamepewa kiti UN. hongeren waznz kwa tekinik mnayoenda nayo. Mtafaulu tu
mwisho cuf tu hao.fifa na UN hakuna mchezo mchezo.wanakuangalia tu ni nch au mkoa bass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…