Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Kwani hawana wimbo wao na bendera si wanao, kwa hiyo wakienda kucheza utaimbwa wimbo wa zanzibar na bendera yao itapandishwa kumbe hamuelewi huu mchezo ulivyoHapo patamu sana.Itabidi tufanye kama UK.England,Scotland,Wales kila nchi na wimbo na bendera yake.Serikali itabidi ilitoe ufafanuzi.Hivi hawa CAF wamewasiliana na Serikali yetu kabla ya kutoa uamuzi.Naona una kila.Chembe ya kuvunja muungano wetu.
Hata wimbo tunao mkuuWanayobendera yao,wataitumia hiyo,wimbo tutashirikiana tu.
Na bunge letu pia tunaloUsisahau kuwa wana Rais wao pia.
Mbona scotland, wales na ireland ni wanachama wa fifamwisho cuf tu hao.fifa na UN hakuna mchezo mchezo.wanakuangalia tu ni nch au mkoa bass
Kasome katiba zao kwanza.Mbona scotland, wales na ireland ni wanachama wa fifa
Nani kakudanganya zanzibar haina mipaka?Hongereni,ila wa FIFA hamtapata kwa sababu Zanzibar siyo nchi - haina dola,haina mipaka nk.
Naam!Walijua mkuu, kama ulimsikiliza kocha wa taifa stars alipokua anatangaza majina ya wachezaji wa taifa stars alisema, "sijachagua mchezaji yoyote kutoka visiwani kwasababu yawezekana wakapata uanachama wa CAF, laa kama hawatapata, nitaongeza wachezaji 4 kutoka Zanzibar"
Swali langu ni hili sasa, wale wachezaji kutoka Zanzibar wanao chezea Yanga, SImba na/au Azam, kuanzia sasa watakua wanahesabika kama walivyo kina Okwi sio?
Wanasiasa wa CCMHongera Zanzibar kwa hatua kubwa kuelekea Uhuru kamili. Sasa muende FIFA mkifanikiwa huko mmalizie UN . Mengine yatajisawazisha yenyewe tu. Mkifikia hapo mtakuwa mmetusaidia sana kurejesha "Tanganyika" yetu na kuhitimisha unafiki wa wanasiasa kuhusu Muungano.
Inanihusu nini? Kama ya zanzibar nchi yangu sina time nayo nikahangaike na ya wales?Nani kakudanganya zanzibar haina mipaka?
Hatukatai ispokuwa England haikuingia kama great Britain, sasa inakuwaje tanganyika kuingia kama Tanzania na flag yake ?Acha ushamba mkuu! Angalia namna UK ilivyo! Wales, England na Scotland vinajitegemea! Soma uelimike sio kukariria mitihani!
Ndio hapo mkuu sijaona England ikiingia kwenye fifa kama Great BritainWewe akili yako ni ndogo hivi Muungano wa Great Britain Unafanana na Muungano wa Tanzania au Unaropoka tuu.
Mwambie kama sio nchi simba na yanga ikajiunge si wanabendera pia na kawimboVipi kuhusu Scotland.... wales zina tafauti gani na Zanzibar...
View attachment 481621
========
Zanzibar is new Caf member
Zanzibar FA has been admitted as the newest member of Caf, supersport.com can report.
The new development will see Zanzibar as the 55th member of Caf after the 39th Caf general assembly in Addis Ababa unanimously voted to admit the country's FA.
Tanzania FA president Jamal Malinzi made his presentation on behalf of the Zanzibar FA asking the assembly to admit Zanzibar.
"Zanzibar has been active over the years and it has a running league and they are independent. I don't see why they should not be admitted as an independent federation because they have their own constitution and statutes," Malinzi told the Caf assembly on Thursday.
In 2005 Zanzibar's move to join Fifa was rejected by the congress.
Chanzo: Zanzibar is new Caf member