Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

Hapo patamu sana.Itabidi tufanye kama UK.England,Scotland,Wales kila nchi na wimbo na bendera yake.Serikali itabidi ilitoe ufafanuzi.Hivi hawa CAF wamewasiliana na Serikali yetu kabla ya kutoa uamuzi.Naona una kila.Chembe ya kuvunja muungano wetu.
Kwani hawana wimbo wao na bendera si wanao, kwa hiyo wakienda kucheza utaimbwa wimbo wa zanzibar na bendera yao itapandishwa kumbe hamuelewi huu mchezo ulivyo
 
Pindi tu zanzibar walianza kuomba bendera, wakawa na wimbo na wakawa na katina nilisema hawa wanaondoka taratibu ipo siku tutajikuta wanaomba kiti UN kwakuwa wana vigezo vyote ambavyo tayari walipewa muda mrefu hakutakuwa wa kuzuia.
 
Walijua mkuu, kama ulimsikiliza kocha wa taifa stars alipokua anatangaza majina ya wachezaji wa taifa stars alisema, "sijachagua mchezaji yoyote kutoka visiwani kwasababu yawezekana wakapata uanachama wa CAF, laa kama hawatapata, nitaongeza wachezaji 4 kutoka Zanzibar"
Swali langu ni hili sasa, wale wachezaji kutoka Zanzibar wanao chezea Yanga, SImba na/au Azam, kuanzia sasa watakua wanahesabika kama walivyo kina Okwi sio?
Naam!
 
Hongera Zanzibar kwa hatua kubwa kuelekea Uhuru kamili. Sasa muende FIFA mkifanikiwa huko mmalizie UN . Mengine yatajisawazisha yenyewe tu. Mkifikia hapo mtakuwa mmetusaidia sana kurejesha "Tanganyika" yetu na kuhitimisha unafiki wa wanasiasa kuhusu Muungano.
Wanasiasa wa CCM
 
Kwa maoni yangu hili la kujitenga ni sawa na kula nyama ya mtu... naliangalia kwa jicho la tatu.. naona kama litaendelea tu kwenye sector zingine
 
Acha ushamba mkuu! Angalia namna UK ilivyo! Wales, England na Scotland vinajitegemea! Soma uelimike sio kukariria mitihani!
Hatukatai ispokuwa England haikuingia kama great Britain, sasa inakuwaje tanganyika kuingia kama Tanzania na flag yake ?
 
View attachment 481621

========

Zanzibar is new Caf member

Zanzibar FA has been admitted as the newest member of Caf, supersport.com can report.

The new development will see Zanzibar as the 55th member of Caf after the 39th Caf general assembly in Addis Ababa unanimously voted to admit the country's FA.

Tanzania FA president Jamal Malinzi made his presentation on behalf of the Zanzibar FA asking the assembly to admit Zanzibar.

"Zanzibar has been active over the years and it has a running league and they are independent. I don't see why they should not be admitted as an independent federation because they have their own constitution and statutes," Malinzi told the Caf assembly on Thursday.

In 2005 Zanzibar's move to join Fifa was rejected by the congress.


Chanzo: Zanzibar is new Caf member
 
Siasa tu

Issa hayatou alipitisha na alifuatisha kanuni ,Palestine, Hong Kong wana case kama ya ZNZ lakini ni wanachama huru wa FIFA


Jamal Malinzi hakuwapigia kura Ahmad Ahmad na Infantino msimamo wake ulikuwa wazi issa Hayatou na Blatter

Huyu Ahmad kafanya siasa tu kisa hakupigiwa kura zaidi ya hapo hakuna kanuni iliyovunjwa kwani wakati wanapitishea jopo la wanasheia ,wataalamu hawakuwepo

Siasa ndio imefanya kazi kwenye suala hili
 
Back
Top Bottom