Mkutano wa CCM Kawe, school bus, mabasi ya mikoani, madaladala nk. yametamalaki

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Nimepita viwanja vya Tanganyika packers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
 
Wametepeta ma CCM

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
wataijua Chadema sasa
 
Mkuu CCM ina mtaji mkubwa wa watu wanaowapigia kura na sio mashindano ya wingi wa watu kwenye mikutano
 
 
Picha iko wapi?
 
Jamaa wanaishi kwa ubabe wa polisi lakini hakuna mtu mwenye akili timamu anaitaka CCM
 
Aibu kubwa sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…