Mkutano wa CCM Kawe, school bus, mabasi ya mikoani, madaladala nk. yametamalaki

Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini? Kweli CCM ni chama dola
ukweli kbs nimekutana na gari za kisemvule to kariakoo zimejaa wanaccm wakitokea mkuranga nifujo kwakweli hii budget ya kuadaa umma inatoka wap?
 
Mhhh
Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini? Kweli CCM ni chama dola
 
Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini? Kweli CCM ni chama dola
🤣🤣🤣🤣
 
Kwani chama dola sikinahudumia hao wote? Kwahyo lazima washirikiii
 
Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini? Kweli CCM ni chama dola
CCM sasa tuna hali mbaya sana, yaani enzi za Dkt Magufuli watu walijitoa kuhudhuria mikutano ila sasa watendaji wa serikali wanalazimishwa kila mtumishi ahudhurie kikao tena kwa gharama za wahusika, hivyo migari kibao inakodiwa na kibaya kabisa mikutano imejaa pumba pumba hakuna msisimuko. Nadhani rais Samia amepotoshwa sana sijui afanyeje.
 
Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini? Kweli CCM ni chama dola
Uongo.
 
Halafu mkutano ulijaa watoto wa shule, wanawake wa kupiga vigelegele na wazee waliochoka. Kuna daladala wamepewa 140,000 wapeleke wanachama mbagala wakachomoa. Kiukweli mkutano ulijaa watu wa manispaa zote za Dar wakati wakazi wa Kawe walikuwa wanaendelea na mishe
 
Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini? Kweli CCM ni chama dola
parkers au packers?
lugha gongana!
 
Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini? Kweli CCM ni chama dola
Sasa wewe ulikuwepo kwenye tukio na ukayaona, sasa si ungeyapiga hata picha basi ku - justify hoja yako?
 
Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini? Kweli CCM ni chama dola
Picha tuone
 
Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom