Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Watanzania wasingekuwa wajinga ccm isingekuwa madarakani hadi leo.chadema badilikeni sana watanzania si wajinga wenzenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wasingekuwa wajinga ccm isingekuwa madarakani hadi leo.chadema badilikeni sana watanzania si wajinga wenzenu
Mimi sio photographerPicha tuone
MImi sio photographerSasa wewe ulikuwepo kwenye tukio na ukayaona, sasa si ungeyapiga hata picha basi ku - justify hoja yako?
Kama profesa kachemka huko majuu itakuwa mimi?parkers au packers?
lugha gongana!
Ajabu misukule kusombwa aalafu wanafika huko wanasahau mkutano wanamuongelea Kibu Denis.Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea na nchini?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari bila picha ni umbeyaMimi sio photographer
Ulijuaje kuwa babako alimtia mimba mamako ukazaliwa wewe bila picha na ukaamini?Habari bila picha ni umbeya
Hahahaha nilijionaUlijuaje kuwa babako alimtia mimba mamako bila picha?
CCM ni mataahi.a.Nimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
Waige Kwa Chadema,no buses Wala vitisho na watu wanajaa nyomiNimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
Leo vijana wangu wawili wamenidanganya wanaenda kuchukua "salfa" kwani nimeambiwa zilikuwa zinagawiwa leo huko Wilaya ya Mkuranga, kumbe wameenda kwenye "afu kumi" za bure za CCM.ukweli kbs nimekutana na gari za kisemvule to kariakoo zimejaa wanaccm wakitokea mkuranga nifujo kwakweli hii budget ya kuadaa umma inatoka wap?
Na wewe unaitwa Baba au Mama kabisa?hiyo Dr umesomea wapi?a PhD holder hawezi kuwa na akili za KIMATAKO kama wewechadema badilikeni sana watanzania si wajinga wenzenu
Hata uku kgamboni nimeona mabasi yamebeba watu wa ccm wametoka huko mbele ya mabasi wameweka bendera za ccm.ila nilikuwa cjui, asante kwa kunijulishaNimepita viwanja vya Tanganyika parkers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
mkuu kwa nini unatumia lugha ya.. niite ya matusi kiasi hiki japo ni kiungo umekitaja hapo lakini haipendezi kufanisha akili za mtu na makalio nduguNa wewe unaitwa Baba au Mama kabisa?hiyo Dr umesomea wapi?a PhD holder hawezi kuwa na akili za KIMATAKO kama wewe
Kura mnawapa CCM ila nyomi kwenye mikutano chadema [emoji28][emoji28]Waige Kwa Chadema,no buses Wala vitisho na watu wanajaa nyomi