Mkutano wa CCM Kawe, school bus, mabasi ya mikoani, madaladala nk. yametamalaki

Yote sawa tu watu wasiteseke kusikiliza hoja
 
CCM ni mataahi.a.
Hilo kwao haliwasumbui.
Posho zimechukuliwa,picha zimechukuliwa kuhalalisha wizi waliojifanyia.
 
Waige Kwa Chadema,no buses Wala vitisho na watu wanajaa nyomi
 
ukweli kbs nimekutana na gari za kisemvule to kariakoo zimejaa wanaccm wakitokea mkuranga nifujo kwakweli hii budget ya kuadaa umma inatoka wap?
Leo vijana wangu wawili wamenidanganya wanaenda kuchukua "salfa" kwani nimeambiwa zilikuwa zinagawiwa leo huko Wilaya ya Mkuranga, kumbe wameenda kwenye "afu kumi" za bure za CCM.
 
Hata uku kgamboni nimeona mabasi yamebeba watu wa ccm wametoka huko mbele ya mabasi wameweka bendera za ccm.ila nilikuwa cjui, asante kwa kunijulisha
 
Mtaji wa ccm kwenye kura ni umasikini wa watanzania, ukitaka kujua hilo itangazwe huduma ya bure huduma ambayo ilikuwa ikilipiwa hapo awali hata kama ilikuwa ni sh 2000 tu, watu wako radhi kupanga foleni toka asubhi mpaka jioni.
 
Na wewe unaitwa Baba au Mama kabisa?hiyo Dr umesomea wapi?a PhD holder hawezi kuwa na akili za KIMATAKO kama wewe
mkuu kwa nini unatumia lugha ya.. niite ya matusi kiasi hiki japo ni kiungo umekitaja hapo lakini haipendezi kufanisha akili za mtu na makalio ndugu
 
Shabani Robert aliwahi kusema " wakati utafika mawe yataongea na wanyama kunena kama binadamu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…