Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukichwa kutapambazuka! Hatimaye mawio yanaanza kutamalaki.. Mungu Ibariki CHADEMA [emoji1545]Ikiwa leo ni siku ya pili tangu kuzinduliwa kwa Mikutano ya hadhara , Chama Pekee chenye uwezo wa kufanya mikutano hiyo na kusikilizwa na wananchi , Chadema kinaendelea na ratiba yake , ambapo leo wapo kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo , Mjini Musoma .
Msafara wa viongozi wa Chadema umefika Mjini Musoma kwa taabu kubwa sana , baada ya kuzuiliwa na wananchi kila walipopita , huku wananchi hao wakitaka viongozi wa Chadema watatue kero zao baada ya viongozi waliopo kushindwa
Hapa ni Simiyu maeneo ya Lamadi
View attachment 2491538View attachment 2491539View attachment 2491540
Hapa napo viongozi wa Chadema walizuiliwa na wananchi , hapa ni Bunda
View attachment 2491542
View attachment 2491543
Tayari Chadema wako Shule ya msingi Mkendo , ambako uwanja umejaa kiasi ambacho wananchi wanazuiliwa , Umati ni mkubwa kuliko eneo la Mkutano .
Hao wananchi walikua wapi waki Magufuli anapinga marufuku mikutano ya vyama vya siasa......waTz ni nyepesi kutawa kwabb ni waoga sanaIkiwa leo ni siku ya pili tangu kuzinduliwa kwa Mikutano ya hadhara , Chama Pekee chenye uwezo wa kufanya mikutano hiyo na kusikilizwa na wananchi , Chadema kinaendelea na ratiba yake , ambapo leo wapo kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo , Mjini Musoma .
Msafara wa viongozi wa Chadema umefika Mjini Musoma kwa taabu kubwa sana , baada ya kuzuiliwa na wananchi kila walipopita , huku wananchi hao wakitaka viongozi wa Chadema watatue kero zao baada ya viongozi waliopo kushindwa
Hapa ni Simiyu maeneo ya Lamadi
View attachment 2491538View attachment 2491539View attachment 2491540
Hapa napo viongozi wa Chadema walizuiliwa na wananchi , hapa ni Bunda
View attachment 2491542
View attachment 2491543
Tayari Chadema wako Shule ya msingi Mkendo , ambako uwanja umejaa kiasi ambacho wananchi wanazuiliwa , Umati ni mkubwa kuliko eneo la Mkutano .
Vipi leo Mwenyekiti hajatupia vyombo? Maana jana pale Furahisha alikuwa tilalila aka nani kamwaga pombe yangu. NaulizaaaIkiwa leo ni siku ya pili tangu kuzinduliwa kwa Mikutano ya hadhara , Chama Pekee chenye uwezo wa kufanya mikutano hiyo na kusikilizwa na wananchi , Chadema kinaendelea na ratiba yake , ambapo leo wapo kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo , Mjini Musoma .
Msafara wa viongozi wa Chadema umefika Mjini Musoma kwa taabu kubwa sana , baada ya kuzuiliwa na wananchi kila walipopita , huku wananchi hao wakitaka viongozi wa Chadema watatue kero zao baada ya viongozi waliopo kushindwa
Hapa ni Simiyu maeneo ya Lamadi
View attachment 2491538View attachment 2491539View attachment 2491540
Hapa napo viongozi wa Chadema walizuiliwa na wananchi , hapa ni Bunda
View attachment 2491542
View attachment 2491543
Tayari Chadema wako Shule ya msingi Mkendo , ambako uwanja umejaa kiasi ambacho wananchi wanazuiliwa , Umati ni mkubwa kuliko eneo la Mkutano .
Hujui kituLeo msimpe mwenyekiti nafasi ya kuhutubia. Mpeni pia kilevi