Mkutano wa CHADEMA Musoma

Mkutano wa CHADEMA Musoma

Huu ungekuwa ni mkutano wa CCM, bssi kila mtu angefuatwa nyumbani Kwa mabasi na malori km ng'ombe au mbuzi wanavyopelekwa mnadani Pugu DSM na kulipwa na posho ya 20,000 kila mtu.

Lakini CHADEMA ina watu bwana. Umati huu wote umekuja wenyewe bila shuruti bali ni kwa sababu ya mapenzi waliyonayo kwa chama hiki pamoja na kiu ya mabadiliko ya kiuongozi ktk nchi yao ya TZ waliyonayo hawa wananchi..

Honestly, watu hawana haja wala hamu na uwepo wa CCM ktk nchi hii kwa sababu haina cha kuwapa wala cha kutoa kwao na nchi hii tena
 
Waliosema Chadema imekufa anzeni kuishuhudia Sasa nyomi kwenye mikutano ya hazara mkiwa Mngali hai
 
Sipati picha siku Tundu Lissu atakapowasili na kuanza mikutano nchi nzima
 
Wingi wa watu kwenye mikutano ya CHADEMA maana yake ni kwamba wsnanchi wana kiu ya fikra mbadala kushika hatamu za nchi.

CCM yangu endeleeni kugawana vyeo lakini mwisho wetu si mbali
Unaota wew hakuna km ccm
 
Samson alipozidiwa akatoa Siri
Usiumie sana Jo
20230123_074130.jpg
 
Back
Top Bottom