Mkutano wa CHADEMA Musoma

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Musoma mjini.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
=



=

=
Your browser is not able to display this video.

 
Apo asilimia kubwa wamelewa,ndio mana wanaogopa sana kipimo cha mkojo
 
Ikiwa leo ni siku ya pili tangu kuzinduliwa kwa Mikutano ya hadhara , Chama Pekee chenye uwezo wa kufanya mikutano hiyo na kusikilizwa na wananchi , Chadema kinaendelea na ratiba yake , ambapo leo wapo kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo , Mjini Musoma .

Msafara wa viongozi wa Chadema umefika Mjini Musoma kwa taabu kubwa sana , baada ya kuzuiliwa na wananchi kila walipopita , huku wananchi hao wakitaka viongozi wa Chadema watatue kero zao baada ya viongozi waliopo kushindwa

Hapa ni Simiyu maeneo ya Lamadi



Hapa napo viongozi wa Chadema walizuiliwa na wananchi , hapa ni Bunda





Tayari Chadema wako Shule ya msingi Mkendo , ambako uwanja umejaa kiasi ambacho wananchi wanazuiliwa kuhudhuria na wameombwa wabaki majumbani , Umati ni mkubwa kuliko eneo la Mkutano , Yaani ni Mtiti si wa kawaida ,


Hivi hii Chadema ina kitu gani ambacho vyama vingine ikiwemo ccm havina ?
 
Kukichwa kutapambazuka! Hatimaye mawio yanaanza kutamalaki.. Mungu Ibariki CHADEMA [emoji1545]
 
Hao wananchi walikua wapi waki Magufuli anapinga marufuku mikutano ya vyama vya siasa......waTz ni nyepesi kutawa kwabb ni waoga sana
 
Vipi leo Mwenyekiti hajatupia vyombo? Maana jana pale Furahisha alikuwa tilalila aka nani kamwaga pombe yangu. Naulizaaa
 
Zitto na wachawi wenzie akina Mkandala na Bernadeta Killian wakiona haya roho zinawauma sana...

Zitto ndo alikua kupe wa kupeleka maneno ya uchonganishi kwa Hangaya ili awakatae CHADEMA kiko wapi?

Roho mbaya, tamaa na shirki zitamuua yule mtoto.
 
Maji ya kwenye kifuu chungu kaona bahari.Si mshangai Mwenyekiti kasoma alama za nyakati.
 
Hatuji mtufuate huku huku Bar tuongee vizuri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…