Mkutano wa CHADEMA Musoma

Tulionya Mapema sana ....kama hukuwahi kuona Moto wa Mbugani chini kwa chini ndoo huu.....

Mlipo tusimamisha Tulisambaa kama siafu ndani kwa ndani

Jiandaeni kuaga Majimbo mpaka kwenye VITONGOJI....TUMERUDI!!!!
 
Chadema imetangaza kwamba hii mikutano itavurumishwa moja kwa moja bila kukoma hadi itakapokabidhiwa nchi 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…