Mkutano wa CHADEMA Musoma

Nimejifunza kitu juu ya Tanzania. Hakuna katiba wala sheria mbele ya rais na chama tawala. Kauli atakayo isema rais inafunika katiba na sheria. Hii ni hatari sana

Uko sahihi kabisa, cha kushangaza hata taasisi zinazopaswa kutekeleza sheria, hutii chochote atakacho rais hata kama ni kinyume cha sheria. Kenya kwenye hili wamefanikiwa sana.
 
Nimejifunza kitu juu ya Tanzania. Hakuna katiba wala sheria mbele ya rais na chama tawala. Kauli atakayo isema rais inafunika katiba na sheria. Hii ni hatari sana
Rais ni zaidi ya katiba hapa Tz
 
Kamanda embu jaribu kumdodosa siku Moja mhe mkiti mbowe kuwa wakati wajadiliana kuuanzishwa kwa hiki chama siku hiyo walikula nn ??? Maana sio kwa upendo huo mkuu ...chama kilichokaa bila kufanya mikutano kwa Miaka 7 kinakuja kukifunika chama ambacho kina serikali kiasi hiki ??? Daaah hapana aiseee [emoji23][emoji23][emoji23] ...
Hiki chama nadhani wkt wanakianzisha walitumia ngekewa ktk kuliandika jina la chama ... Mnyama ngekewa alitumika kwenye kuandika jina CHAMA cha DEMOKRASIA na MAENDELEO ( CHADEMA ) ... Na siku hiyo wajumbe walikula chips kuku wa kienyeji .. wali kuku na pilau kuku ...wakashushia na Pepsi bariiiiidi ....
 
Wingi wa watu kwenye mikutano ya CHADEMA maana yake ni kwamba wsnanchi wana kiu ya fikra mbadala kushika hatamu za nchi.

CCM yangu endeleeni kugawana vyeo lakini mwisho wetu si mbali
Ccm hatutegemei sanduku la kura pekee ili kupata ushindi.
 
Hii ni ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…