Mkutano wa CHADEMA Musoma

shida ya CDM haiaminiki, lolote linawezakutokea chini ya Mbowe.
 
kWa kishindo hiki naishangaa The Deep State wanachaje kuwapa Wananchi wanachotaka.

Ndio Maana Tanzanua haipati maendeleo. Wananchi wanashirikiana na viongozi wanaopenda sio wa kubambika tu.
VERY TRUE
 
Mungu yabariki maridhiano Ili pasiwepo na hadaa mbeleni.

Aamen.
 
Tulionya Mapema sana ....kama hukuwahi kuona Moto wa Mbugani chini kwa chini ndoo huu.....

Mlipo tusimamisha Tulisambaa kama siafu ndani kwa ndani

Jiandaeni kuaga Majimbo mpaka kwenye VITONGOJI....TUMERUDI!!!!
CHADEMA kina nguvu sana ground.

Watu wanajitolea sana Kwa Chama.

Blessed be them.
 
Uko sahihi kabisa, cha kushangaza hata taasisi zinazopaswa kutekeleza sheria, hutii chochote atakacho rais hata kama ni kinyume cha sheria. Kenya kwenye hili wamefanikiwa sana.
Ndugu TINDO kama unaamini hivyo,

Suala la KATIBA mpya tunaweza kuipata Kwa Amani ikiwa Rais atapenda Ipatikane Kwa njia hiyo Kwa mamlaka makubwa aliyonayo?
 
Apo asilimia kubwa wamelewa,ndio mana wanaogopa sana kipimo cha mkojo
Upumbavu huu,ulevi haupimwi kwa kutumia mkojo, ulevi ni alcohol breathalyzer au damu, hivi ndivyo vinaweza kupimwa ili kujua kiwango cha pombe kilichomo mwilini mwako...nenda shule tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…