Huu ungekuwa ni mkutano wa CCM, bssi kila mtu angefuatwa nyumbani Kwa mabasi na malori km ng'ombe au mbuzi wanavyopelekwa mnadani Pugu DSM na kulipwa na posho ya 20,000 kila mtu.
Lakini CHADEMA ina watu bwana. Umati huu wote umekuja wenyewe bila shuruti bali ni kwa sababu ya mapenzi waliyonayo kwa chama hiki pamoja na kiu ya mabadiliko ya kiuongozi ktk nchi yao ya TZ waliyonayo hawa wananchi..
Honestly, watu hawana haja wala hamu na uwepo wa CCM ktk nchi hii kwa sababu haina cha kuwapa wala cha kutoa kwao na nchi hii tena