Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970




Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu.

Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro.

Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali.

Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi kwenye tukio lake kuliko chama cha kisiasa kilichofanya tukio la kitaifa.

Hii maana yake nini?
1. Je upinzani umekosa mvuto?

2. Kanda ya ziwa wamechukizwa na siasa za Chadema za kuwashambulia (sukuma gang)?

3. Mbowe amelamba asali hivyo hana cha kupoteza tena kuiweka Chadema kaburini?

4. Michezo ina nguvu kuliko siasa, watu wamekata tamaa na wanasiasa?
 
Sema unachotaka kusema, sio unajizungusha zugusha kama unakula ugali na mlenda wa tabora
Mkuu wewe una maoni gani Mandonga kuwa na ushawishi kuliko Chadema?
 
Jana Chadema hawakuthubutu kutamka jina Magufuli pale Mwanza.
Matusi yao na kejeli kwa Magufuli mwisho wake ni twitter na jamiiforum wangejua hawajui wangemtusi JPM 🤣🤣🤣🤣🤣
wananchi waliona uongozi wa JPM alama zake zipo zinaishi.
 
Samia namuionea huruma sana. Aliwaambia jibuni hoja za Chadema. Ila kama majibu ndo haya basi hongereni kwakuzindua chawa wa mama mkiongozwa na Meya Kumbilamoto.
 
Nchi hii ina wjng wengi sana

Ova
Bila hao wajinga unafikiri hata hiyo mikutano ya kisiasa itapata watu? Ni wachache sana wenye uelewa ndio wapo kwenye hiyo mikutano ila wengi wanaenda kushangaa tu ilimradi kukusanyika.
 
Jana Chadema hawakuthubutu kutamka jina Magufuli pale Mwanza.
Matusi yao na kejeli kwa Magufuli mwisho wake ni twitter na jamiiforum wangejua hawajui wangemtusi JPM [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ni mpumbavu uliyepata mtaji kwa mgongo wa shetani Jpm.Nchi hii ina watu wengi sana so,watu kugawanyika kwenda kwenye matukio hamsini tofauti bado siyo issue kubwa!
 
Hivi Tanzania ni Nchi au Gereza?

Pardon my language nimeuliza tu sio kwa ubaya lakini,
 
Jana Chadema hawakuthubutu kutamka jina Magufuli pale Mwanza.
Matusi yao na kejeli kwa Magufuli mwisho wake ni twitter na jamiiforum wangejua hawajui wangemtusi JPM [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CHADEMA hawana habari na Marehemu ambaye inafahamika kabisa Kwa Sasa yuko Kuzimu / Motoni
 

sawa na wewe mtoa mada nikulinganishe na juma lukole kitabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…