econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
View attachment 2491066
View attachment 2491067
Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu.
Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro.
Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali.
Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi kwenye tukio lake kuliko chama cha kisiasa kilichofanya tukio la kitaifa.
Hii maana yake nini?
1. Je upinzani umekosa mvuto?
2. Kanda ya ziwa wamechukizwa na siasa za Chadema za kuwashambulia (sukuma gang)?
3. Mbowe amelamba asali hivyo hana cha kupoteza tena kuiweka Chadema kaburini?
4. Michezo ina nguvu kuliko siasa, watu wamekata tamaa na wanasiasa?
Weka picha zote za mwanza na musoma sio unaleta kapicha ka efm ndio ushahidi wako. Mlisema CHADEMA haitafanya mkutano Kanda ya Ziwa , imeanza kufanya mmekimbilia kwa Mandonga. Tuoneshe Mandonga ana watu wangapi na mwanza na musoma CHADEMA Ina watu wa ngapi.