Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

Hizi ni Akili ndogo hazifai kuwa Jamii Forum.

Jamii Forum ni Home of Great thinkers.
 

Uko sahihi kabisa, je unaweza kutupa kwa uhakika idadi iliyokuwa kwenye mkutano wa CDM, na mapokezi ya Mandonga? Au hii propaganda ndio matamanio ya kila mwanaccm?
 
Mleta mada ni wale wa kikundi kile kinachotaka Mbowe angatuliwe ili chama kiongozwe na viongozi wao wanao mpiga vita Mbowe.

Utasikia kalamba asali, na kumaingizia kalewa ndio maana kamshukuru Raisi samia.

Huu ni upotovu na siasa chafu
 
Tumia akili kabla hujaposti kitu kenge wewe. Unadhani smartphone unamiliki wewe na mamako tu?
Your browser is not able to display this video.
 
Sema unachotaka kusema, sio unajizungusha zugusha kama unakula ugali na mlenda wa tabora
Kwani matukio hayo yalikuwa yanatokea mji mmoja. Kama ni mikoa tofauti ulinganisho wako hauna maana na hujui ulichokiandika
 
Kwani matukio hayo yalikuwa yanatokea mji mmoja. Kama ni mikoa tofauti ulinganisho wako hauna maana na hujui ulichokiandika
Duu wee jamaa mbona akili yako nzito ivi. Umeelewa kweli nlichoandika
 

CHADEMA inawanyima Sana raha. Kila mtu anatumia ujinga wake kuikandia CHADEMA. Ngoja tuone mwisho.
 
Bila hao wajinga unafikiri hata hiyo mikutano ya kisiasa itapata watu? Ni wachache sana wenye uelewa ndio wapo kwenye hiyo mikutano ila wengi wanaenda kushangaa tu ilimradi kukusanyika.

Punguza dharau. Usijione umefika.
 
Tuambie, Mkutano wa CHADEMA umehudhuriwa na watu wangapi? Na mapokezi ya Mandonga yalikuwa na watu wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…