Sioni tatizo! Kuna mambo mawili; hoja ya msingi ni kukiukwa taratibu. NikadefendAnhaaa, wanamtoa Uenezi halafu ndio wanamwapisha RC
Kama uetuzi wa u-RC hauna tatizo, kwa nini wanamtoa Uenezi ????
Sioni tatizo! Nilimdefend Mhe. Rais kwa madai kakiuka katiba. Nikasema taratibu za kikatiba mbona zinaendelea! Pili, kuondolewa uenezi kwa uteuzi wa URC pia sioni shida.Anhaaa, wanamtoa Uenezi halafu ndio wanamwapisha RC
Kama uetuzi wa u-RC hauna tatizo, kwa nini wanamtoa Uenezi ????
Cheo ni dhamana! Pia, Mhe. Rais ndiye alimteua na anajua kwa nini amefanya hivyo. Mhe. Makonda bado ni kijana. Kuna kesho yake nzuri tu. 🙏🙏🙏