Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Siyo kweliMpaka sasa Makonda Bado ni Katibu wa NEC itikadi na Uenezi maana hakuna mahali popote panaposema kaenguliwa, katumbuliwa au kaachishwa ila kilichofanyika ni kuteuliwa ukuu wa mkoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweliMpaka sasa Makonda Bado ni Katibu wa NEC itikadi na Uenezi maana hakuna mahali popote panaposema kaenguliwa, katumbuliwa au kaachishwa ila kilichofanyika ni kuteuliwa ukuu wa mkoa
Mnateseka sana kmmmk. Kwisha habari yenu. Tuliwaambia jamaa yenu hafugiki. Na huko chuga ni suala la muda tuMwenyekiti hajamtengua msemaji wa chama ila kamuongezea jukumu na sijaona pahali pameandikwa katenguliwa uenezi ila kateuliwa kuwa mkuu wa mkoa na wala sio kosa wala hajakiuka katiba msipotoshe
Kwa vile mama yenu anaamini katiba ni karatasi ndiyo maana almanusura asiapishwe.Mtasubiri sana nchi hii kufuata hizo karatasi mnazoita katiba!
Kumbuka Mhe. Makonda hajaapishwa pia, taarifa ya Ikulu haijasema kama kaondolewa katika nafasi ya Uenezi! Ndiyo maana nimesema kama ataondolewa basi hakuna sehemu Mhe. Rais atakuwa amekiuka Katiba. Utaratibu huu pia ulitumika kwa Mhe. Sophia Mjema. So kuhusu nini kilipaswa kuanza; bado uamuzi wa Mhe. Rais uko sawa kama ulivyo.🙏🙏🙏Kipi kilipaswa kuanza, ama kikao hiki cha dharula ili kojadili nyongeza ya majukumu ya mwenezi au hivi alivyopewa halafu kikao ndo kifuate kuweka muhuri wa Mwenyekiti?
Ingawa sijaisoma vizuri katiba ya ccm hapa upo ukakasi, maana hata kama Mwenyekiti alikuwa anamhitaji Makonda ktk nafasi nyingine ilikuwa vizuri zaidi kuanza na japo kikao cha dharula kama hiki ili walau wajumbe wapate kutia baraka hata kama hawawezi kupinga maamuzi ya Mwenyekiti. Hii inaipa halmashauri/ kamati heshima na kujiona kuwa wametekeleza wajibu hata kama ni usanii.
Tuache katiba maana inaweza kuwa na shimo kwamba haielezi kinagaubaga juu ya jambo hili. Ila tujadili ktk hali ya kimantiki, je ni busara kuikalisha halmashauri ipendekeze na kupitisha mteule wa chama kisha huyu mteule akawa anaweza kufukuzwa kwa namna yoyote bila halmashauri iliyomjadili kuhusishwa eti wahushwe baada ya kuondolewa?Kumbuka Mhe. Makonda hajaapishwa pia, taarifa ya Ikulu haijasema kama kaondolewa katika nafasi ya Uenezi! Ndiyo maana nimesema kama ataondolewa basi hakuna sehemu Mhe. Rais atakuwa amekiuka Katiba. Utaratibu huu pia ulitumika kwa Mhe. Sophia Mjema. So kuhusu nini kilipaswa kuanza; bado uamuzi wa Mhe. Rais uko sawa kama ulivyo.🙏🙏🙏
Hata haueleweki unaongelea niniMnateseka sana kmmmk. Kwisha habari yenu. Tuliwaambia jamaa yenu hafugiki. Na huko chuga ni suala la muda tu
Wanaanzaga very humble, baadae, wananza kuota mapembe!, yanachomoza mdogo mdogo, yasipodhibitiwa mapema,Viongozi wasipofata taratibu, sheria, kanuni, itifaki za chama na serikali, wanatuma ujumbe kwa wengine wote nchini yao kwamba kiongozi ana mamlaka ndani ya eneo lake kufanya lolote analotaka....[/SIZE][/FONT]
Nani tena huyoo anayejifanya nyati huko???Nanilii ameanza anza kuota mapembe!, yasipodhibitiwa mapema, yatakuwa makubwa kama ya ngomb'e wa ankole, yatakuwa na ncha kali..., yatachoma hayo!
P
Katika hiyo mantiki; anayepeleka jina lake lijadiliwe ni Mhe. Rais na Mwenyekiti wa Chama. Ndiyo maana nimesema kwanza, hakuna sehemu hadi hivi sasa Mwenezi ameondolewa. Kama kutakuwa na uamuzi huo basi utaratibu utakuwa sawa na uliotumika kumteua. Kitu kimoja tu; sioni mantiki kumlaumu Mhe. Raia kama alivyosema mleta mada.Tuache katiba maana inaweza kuwa na shimo kwamba haielezi kinagaubaga juu ya jambo hili. Ila tujadili ktk hali ya kimantiki, je ni busara kuikalisha halmashauri ipendekeze na kupitisha mteule wa chama kisha huyu mteule akawa anaweza kufukuzwa kwa namna yoyote bila halmashauri iliyomjadili kuhusishwa eti wahushwe baada ya kuondolewa?
Hizo huwa ni formalities tu !ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA
KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
TOLEO LA 2022
IBARA YA 102
Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
zitakuwa zifuatazo:-
KIFUNGU CHA 12
Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu
ya Taifa wa Itikadi na Uenezi
KIFUNGU CHA 21
Kumwachisha au kumfukuza Uongozi
kiongozi yeyote ambaye uteuzi wake wa
mwisho ulifanywa na Halmashauri Kuu
ya CCM ya Taifa.
=================================
CCM leo imeitisha kikao cha dharura cha NEC kwa nia ya ku save face ya Mwenyekiti, yani kufunika mchemko wa kuvunjwa Katiba ya CCM uliofanywa na Mwenyekiti. Watatengua nafasi ya Makonda na kuteua Mwenezi mpya. Lakini Mwenyekiti alishamtengua kivyake vyake tayari na kumfanya RC Arusha
Viongozi wasipofata taratibu, sheria, kanuni, itifaki za chama na serikali, wanatuma ujumbe kwa wengine wote nchini yao kwamba kiongozi ana mamlaka ndani ya eneo lake kufanya lolote analotaka....
Mwenyekiti wa Chama na ni Rais wa Nchi !!Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya CCM ya mkoa 🐼
Mwenezi anaweza Kuwa RC hakuna matata
Mkuu,
Kwa kanuni ipi?
Mbona Mwenyekiti wa CCM ni Rais tayari?
Imebaki stori!Kwa vile mama yenu anaamini katiba ni karatasi ndiyo maana almanusura asiapishwe.
Kunywa maji kwanzaHata haueleweki unaongelea nini
KWahiyo uenezi una nafasi mbili? Kwamba Makonda bado yumo na Makala naye yumo kwenye nafasi hiyo?Mpaka sasa Makonda Bado ni Katibu wa NEC itikadi na Uenezi maana hakuna mahali popote panaposema kaenguliwa, katumbuliwa au kaachishwa ila kilichofanyika ni kuteuliwa ukuu wa mkoa