Elections 2010 Mkutano Wa Hadhara Wa Wana-JF [Online]

Mkuu nadhani nafasi ya mkurugenzi wa TBC itangazwe ili mtanzania yeyote mwenye uwezo aombe na chombo huru kitumike kufanya usaili. Baada ya hapo awe anareport kwa bunge na sio rais.

Chesty: Ni TBC tu au vyombo vyote vya habari vya Umma?
 
Kama hii kamati imepewa uwezo wa kuendesha harambee yenyewe, basi itanunuliwa kabla hata haijaanza kazi yake. Mara ngapi tumesikia mafisadi wakiingia kwa gia za kuwa na mapenzi mapema? Kamati lazima iwezeshwe, sio kutegemea michango ya wenye mpenzi mapema bali wana JF wenyewe.
 
Mkuu niwie radhi, jana jioni kidogo nilikuwa najisikia uchovu na swaumu pia ilikuwa kali. ikabidi nikimbie kufungulia. Sasa niko fit . . .

Hoja yako makini . . . "Matumizi makini na Uendelezaji makini ya rasilimali za Taifa kwa ajili ya Manufaa ya wote"

hapo vipi?
 
Agenda zangu kuu 2010:
1. KUANDIKA KATIBA MPYA: Mchakato uanze ndani ya mwaka mmoja tangu kuingia madarakani. Katiba iandikwe na wadau wanaowakilisha makundi mengi iwezekanavyo. Hapa ndipo tunaweza kuweka vifungu vinavyotoa maelekezo muhimu ya jinsi ya kuongoza nchi,ulinzi wa raslimali zetu, uadilifu, vita dhidi ya ufisadi (zero tolerance kwa mafisadi), n.k.
2. ELIMU: Elimu bora kwa kila Mtanzania katika wigo mpana (ubora wa elimu, walimu, vifaa vya kufundishia, mazingira elimu inakotolea n.k.). Pia suala la utafiti na ugunduzi lipewe kipaumbele si kwa maneno tu bali kwa sera, sheria na budget.
3. KILIMO: Kilimo katika mtazamo wa uzalishaji na uendelezaji wa viwanda badala ya uchuuzi na utumikishaji wa wakulima.
4. MIUNDOMBINU: Hapa ni kuweka mkazo si kwenye wingi tu bali ubora wa miundombinu yetu.
5. ELIMU, ELIMU ELIMU, ELIMU........ ++++++++ AFYA.
 
Haaa haaa Balozi . . . toa pendekezo mbadala tafadhali maana JF hatuna pesa kwa sasa kwa kazi hii . . .
 
Defamation zaidi MHHH! Mwenyekiti..unaelekea pabaya zaidi! NITAKE RADHI TAFADHALI!
 
Hapo imesimama vizuri. Mpaka sasa hivi sijamfahamu katibu, kuna point za msingi zimetolewa ambazo inabidi mwisho wa siku zijumuishwe tuanze kudadavua utekelezaji wake.
 
Mkuu, hapo nikiongeza kitu nitakuwa nimeharibu. Zote zimekaa vizuri. Ni copy and paste tu!

Hivi Hoja ya Kuondoa Umasikini hamtaki kuiongelea?
 
Mkuu, hapo nikiongeza kitu nitakuwa nimeharibu. Zote zimekaa vizuri. Ni copy and paste tu!

Hivi Hoja ya Kuondoa Umasikini hamtaki kuiongelea?

Kwani umasikini ni chanzo au matokeo? Kama mtu ni mgonjwa unaondoa kisababishi cha ugonjwa au unamkanda maji na kutimua mbele?
 
Hapo imesimama vizuri. Mpaka sasa hivi sijamfahamu katibu, kuna point za msingi zimetolewa ambazo inabidi mwisho wa siku zijumuishwe tuanze kudadavua utekelezaji wake.
Nampendekeza Dark City awe Katibu wa kudumu maana ameonyesha anweza kabisa hii kazi na ameshaanza kuifanya.

Pia napendekeze wewe uwe endorsed na wanachama ili urasmishwe kwa kazi hii.ILA UACHE JAZBA,KEJELI NA MATUSI KWA WACHANGIAJI.PIA UWATAKE RADHI WALE WOOOTE ULIOWATUHUMU NIKIWEMO MIMI MWENYEWE.
 
Defamation zaidi MHHH! Mwenyekiti..unaelekea pabaya zaidi! NITAKE RADHI TAFADHALI!

Naomba Radhi Please . . .

lakini Uenyekiti basi . . . labda kama umati huu utataka niendeleee . . . unaniendesha kama gari bovu . . .

Najiweka pembeni
Naogopa Msongamano
Bora Nitulie
Nipate Chakula Nile
Mola Nijalie
Yasijirudie Tena

Njoo sasa usimamie Mkutano!
 
Haaa haaa Balozi . . . toa pendekezo mbadala tafadhali maana JF hatuna pesa kwa sasa kwa kazi hii . . .
Napendekeza tuanzishe mfuko rasmi kwa ajili ya shughuli hii. Au unataka kwanza uunde tume ya kuangalia uwezekano wa kuwepo mfuko hii?
 
Hapo imesimama vizuri. Mpaka sasa hivi sijamfahamu katibu, kuna point za msingi zimetolewa ambazo inabidi mwisho wa siku zijumuishwe tuanze kudadavua utekelezaji wake.

Mkuu, ni kweli . . . pendekeza tafadhali.
 
Nampendekeza Dark City awe Katibu wa kudumu maana ameonyesha anweza kabisa hii kazi na ameshaanza kuifanya.

Ahsante sana WoS,

You just proved my everlasting respect to you!! Hata hivyo mimi nimedandia gari kwenye mwendo na kwa hiyo naomba mapendezo ya huko nyuma yafanyiwe kazi kwanza.

My respect dada, ...DC
 
Kwani umasikini ni chanzo au matokeo? Kama mtu ni mgonjwa unaondoa kisababishi cha ugonjwa au unamkanda maji na kutimua mbele?

Nimekusoma. Ukipenda toa ufafanuzi zaidi ili umati huu ukuelewe vema.
 
Napendekeza tuanzishe mfuko rasmi kwa ajili ya shughuli hii. Au unataka kwanza uunde tume ya kuangalia uwezekano wa kuwepo mfuko hii?

Haaa haaa Viscious Cyle Mkuu . . . Mfuko maalumu si inabidi uchangiwe kwa harambee? ama?
 
Nakuunga mkono. DC upo?

Mhhh,

Balozi, mbona pendekezo lenyewe la awali halijatulia na tayari limewekewa pingamizi?

Nadhani hoja iendelee kama vile DC hajakanyaga humu ndani au unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…