Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Kitakachomcost Hana asili ya Zanzibar I, mzee mwinyi baba yake Ni mtu wa bara Tena kutoka pwani, Sasa wazanzibar hawawezi kukubali kuwa na raisi mtanganyika
Wazanzibari kuliko wote ni watu wa bara, kwani hukusoma Historia?
 
Muulize Polepole
Watu kutoka koo moja kushika nafasi nyeti ya uongozi serikalini sio dhambi, ili mradi hawavunji sheria na wamekidhi vigezo vya kikatiba, hta mataifa ya Ulaya na America haya mambo yapo
 
Lile nyang'au la kule twiter lilokuwa linasema Magufuli amepanga kumuweka Mbarawa sijui linajisikiaje muda huu!
Binadamu yoyote huwa ana chuo A na C ...
Magufuli alikuwa anampenda sana Mbarawa hilo lipo wazi ila nguvu ya mtandao iliyomweka madarakani (Mwinyi na Mkapa) walimuomba fadhila ..nae ametoa fadhila ukiambiwa CCM ina wenyewe tuwe tunaelewa.

Isingekuwa kuwa Mkapa na Mwinyi hata Magufuli asingeupata urais.
 
Una Kichwa Kimejaa USAHA.

Nchi hii ina watanzania milioni 60, unadhani kila mtu ni msukule wa chama cha SIASA.
Hao wagombea ni wa ccm, sasa unapolalama kwamba nchi wanapeana kifamilia, je, nyie kama chadema ina maana mmekata tamaa ya kushinda kule Zanzibar ili kuondoa hiyo hali?
 
Kitakachomcost Hana asili ya Zanzibar I, mzee mwinyi baba yake Ni mtu wa bara Tena kutoka pwani, Sasa wazanzibar hawawezi kukubali kuwa na raisi mtanganyika
Kitakachomfaidisha, CCM zanzibar hawatokubali Maalim Seif aingie madarakani. in the meantime CCM zanzibar watanuna na kuvimba lakini watamsapoti kufa kupona Mwinyi.
 
Sasa zile kelele zenu za eti hoo Membe jasusi mbobevu na takataka nyingine kama hizo mlikuwa mnatoa wapi huku mkijua namna ccm inavyofanya kazi kama taasisi na si kama mtu mmoja?

Umekubali sasa kwamba Magufuli hafanyi yeye kama yeye bali kitaasisi?
 
Ila watanganyika mnadhambi sn........kwa nn mnawanyanyasa wazanzibari na kuwachagulia mgombea? Kwani wao km nchi hawana uwezo wa kujiamulia rais wao wenyewe?
 
Haujajitendea haki bro,Tanzania si nchi kame.
 
Wamemtoa Mbarawa ile iwe mtelemko kwa Hussein Mwinyi! CCM bwana, eti wana demokrasia...
 
hongera Dr. Hussein Mwinyi kwa kupitshwa kwa kishindo kwa 78%, naamini unastahiki kuwania nafasi ya uraisi znz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…