Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Kitakachomcost Hana asili ya Zanzibar I, mzee mwinyi baba yake Ni mtu wa bara Tena kutoka pwani, Sasa wazanzibar hawawezi kukubali kuwa na raisi mtanganyika
Wazanzibari kuliko wote ni watu wa bara, kwani hukusoma Historia?
 
Lile nyang'au la kule twiter lilokuwa linasema Magufuli amepanga kumuweka Mbarawa sijui linajisikiaje muda huu!
Binadamu yoyote huwa ana chuo A na C ...
Magufuli alikuwa anampenda sana Mbarawa hilo lipo wazi ila nguvu ya mtandao iliyomweka madarakani (Mwinyi na Mkapa) walimuomba fadhila ..nae ametoa fadhila ukiambiwa CCM ina wenyewe tuwe tunaelewa.

Isingekuwa kuwa Mkapa na Mwinyi hata Magufuli asingeupata urais.
 
Una Kichwa Kimejaa USAHA.

Nchi hii ina watanzania milioni 60, unadhani kila mtu ni msukule wa chama cha SIASA.
Hao wagombea ni wa ccm, sasa unapolalama kwamba nchi wanapeana kifamilia, je, nyie kama chadema ina maana mmekata tamaa ya kushinda kule Zanzibar ili kuondoa hiyo hali?
 
Kitakachomcost Hana asili ya Zanzibar I, mzee mwinyi baba yake Ni mtu wa bara Tena kutoka pwani, Sasa wazanzibar hawawezi kukubali kuwa na raisi mtanganyika
Kitakachomfaidisha, CCM zanzibar hawatokubali Maalim Seif aingie madarakani. in the meantime CCM zanzibar watanuna na kuvimba lakini watamsapoti kufa kupona Mwinyi.
 
Binadamu yoyote huwa ana chuo A na C ...
Magufuli alikuwa anampenda sana Mbarawa hilo lipo wazi ila nguvu ya mtandao iliyomweka madarakani (Mwinyi na Mkapa) walimuomba fadhila ..nae ametoa fadhila ukiambiwa CCM ina wenyewe tuwe tunaelewa.

Isingekuwa kuwa Mkapa na Mwinyi hata Magufuli asingeupata urais.
Sasa zile kelele zenu za eti hoo Membe jasusi mbobevu na takataka nyingine kama hizo mlikuwa mnatoa wapi huku mkijua namna ccm inavyofanya kazi kama taasisi na si kama mtu mmoja?

Umekubali sasa kwamba Magufuli hafanyi yeye kama yeye bali kitaasisi?
 
Ila watanganyika mnadhambi sn........kwa nn mnawanyanyasa wazanzibari na kuwachagulia mgombea? Kwani wao km nchi hawana uwezo wa kujiamulia rais wao wenyewe?
 
Mvua ni baraka kutoka kwa Mungu,na kiongozi huletwa na Mungu pia,kwa miaka mingi mvua haijawahi kuangusha tone hata moja la mvua lakini Leo katika nchi kame tunabakiwa kupata mvua za rasharasha.

Baraka tele kwa viongozi CCM, mvua imemuunga mkono Mh Rais Magufuli kwa kuleta mvua za rasharasha #dodoma ya kijani, CCM ya kijani#2020
Haujajitendea haki bro,Tanzania si nchi kame.
 
Wamemtoa Mbarawa ile iwe mtelemko kwa Hussein Mwinyi! CCM bwana, eti wana demokrasia...
 
hongera Dr. Hussein Mwinyi kwa kupitshwa kwa kishindo kwa 78%, naamini unastahiki kuwania nafasi ya uraisi znz.
 
Back
Top Bottom