Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Muulize PolepoleKifungu kipi cha katiba ya Chama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize PolepoleKifungu kipi cha katiba ya Chama?
Wazanzibari wameondoa usultani wa muarabu, wameweka usultani wa muafrika.Utawala wa ukoo ,familia zinakula keki ya taifa . Hongereni 2025 tutawawekea mke wa anayetoka madarakani
Wazanzibari kuliko wote ni watu wa bara, kwani hukusoma Historia?Kitakachomcost Hana asili ya Zanzibar I, mzee mwinyi baba yake Ni mtu wa bara Tena kutoka pwani, Sasa wazanzibar hawawezi kukubali kuwa na raisi mtanganyika
Wengi walihisi huyo. But ni statemanHivi kuna mtu ambaye alitegemea kumsikia mgombea mwingine tofauti na Hussein Mwinyi?
Watu kutoka koo moja kushika nafasi nyeti ya uongozi serikalini sio dhambi, ili mradi hawavunji sheria na wamekidhi vigezo vya kikatiba, hta mataifa ya Ulaya na America haya mambo yapoMuulize Polepole
Binadamu yoyote huwa ana chuo A na C ...Lile nyang'au la kule twiter lilokuwa linasema Magufuli amepanga kumuweka Mbarawa sijui linajisikiaje muda huu!
Hao wagombea ni wa ccm, sasa unapolalama kwamba nchi wanapeana kifamilia, je, nyie kama chadema ina maana mmekata tamaa ya kushinda kule Zanzibar ili kuondoa hiyo hali?Una Kichwa Kimejaa USAHA.
Nchi hii ina watanzania milioni 60, unadhani kila mtu ni msukule wa chama cha SIASA.
Kitakachomfaidisha, CCM zanzibar hawatokubali Maalim Seif aingie madarakani. in the meantime CCM zanzibar watanuna na kuvimba lakini watamsapoti kufa kupona Mwinyi.Kitakachomcost Hana asili ya Zanzibar I, mzee mwinyi baba yake Ni mtu wa bara Tena kutoka pwani, Sasa wazanzibar hawawezi kukubali kuwa na raisi mtanganyika
Sasa zile kelele zenu za eti hoo Membe jasusi mbobevu na takataka nyingine kama hizo mlikuwa mnatoa wapi huku mkijua namna ccm inavyofanya kazi kama taasisi na si kama mtu mmoja?Binadamu yoyote huwa ana chuo A na C ...
Magufuli alikuwa anampenda sana Mbarawa hilo lipo wazi ila nguvu ya mtandao iliyomweka madarakani (Mwinyi na Mkapa) walimuomba fadhila ..nae ametoa fadhila ukiambiwa CCM ina wenyewe tuwe tunaelewa.
Isingekuwa kuwa Mkapa na Mwinyi hata Magufuli asingeupata urais.
Haujajitendea haki bro,Tanzania si nchi kame.Mvua ni baraka kutoka kwa Mungu,na kiongozi huletwa na Mungu pia,kwa miaka mingi mvua haijawahi kuangusha tone hata moja la mvua lakini Leo katika nchi kame tunabakiwa kupata mvua za rasharasha.
Baraka tele kwa viongozi CCM, mvua imemuunga mkono Mh Rais Magufuli kwa kuleta mvua za rasharasha #dodoma ya kijani, CCM ya kijani#2020
Katiba ya CCM ni ya muungano tuliunganisha vyama na katiba za Tanu Na ASP tukaja na katiba ya muungano ya CCMKatiba ya chama siyo ya muungano
Inategemea unafatilia chombo gani Cha habar.Uchebe ame trend kuliko Jiwe na chama chake.
Na Maalim Seif je?Na huyu ndiye Rais wa Zanzibar