Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Kwa mtindo huu Raisi wa miaka ijayo atakua Jurgen Magufuli. Ila naona ni mataifa mengi hii hali ipo hivi it seems as ni blood line thing
 
Hakuna nakuambia,ingekuwa hatarii.Wajumbe wengi hawampendi Magufuli ni vile wanamuogopa tu.
Yah nadhani hata hii ya kumchagua Hussein itakua seminar elekezi kabambe walipigwa haiwezi kuwa hivi hivi. Waafrica tunajuana bana lazima mpunga mnene umetembea. Japo inaonekana kama ni jambo lilifonyika kwa uwazi.
 
....Membe hajaitendea haki nchi.....

OOhooooo CHEZA NA YOTE SI CCM yetu......
 
Kwa mtindo huu Raisi wa miaka ijayo atakua Jurgen Magufuli. Ila naona ni mataifa mengi hii hali ipo hivi it seems as ni blood line thing

Hii hali ikianza kubadilika itabadilika vibaya sana na hatari sana kwa wana familia . Ni mtego wa panya huo watakuja kuingia waliokuwemo na wasiokuwemo
 
Lipo wazi Hilo wengine ni wasindikizaji tu,we uoni baba yake alikuwa akiiunga kila kitu ili amsimharibie mwanae
 
Yah nadhani hata hii ya kumchagua Hussein itakua seminar elekezi kabambe walipigwa haiwezi kuwa hivi hivi. Waafrica tunajuana bana lazima mpunga mnene umetembea. Japo inaonekana kama ni jambo lilifonyika kwa uwazi.

Nakuvulia kofia, umemaliza kila kitu 👍👍
 
Yah nadhani hata hii ya kumchagua Hussein itakua seminar elekezi kabambe walipigwa haiwezi kuwa hivi hivi. Waafrica tunajuana bana lazima mpunga mnene umetembea. Japo inaonekana kama ni jambo lilifonyika kwa uwazi.
Kalpana mrembo wetu wapemba twasema HALITAKI HATA TOCHI....

Mchakato ulikuwa penuuu peupeee yailahiii
 
Lipo wazi tangu zamani mbona thus mzee wake aliridhia katiba ibadilishwe jiwe atawale milele
 
Kalpana mrembo wetu wapemba twasema HALITAKI HATA TOCHI....

Mchakato ulikuwa penuuu peupeee yailahiii
Ccm naowajua wakitaka mtu fulani atapita hata kwa kupindua meza. Mm nilimuona yule Doc kama yuko matured kidogo kuliko mwinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…