Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Taifa Dar derbyUmekosa mvuto wakati wewe umevutika kuja kuchangia hapa!
Macho na masikio yote Dodoma wikiendi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa Dar derbyUmekosa mvuto wakati wewe umevutika kuja kuchangia hapa!
Macho na masikio yote Dodoma wikiendi hii
Tanzania ni moja!U
Mndengereko mwingine anaenda kutawala Zanzibar!
Wewe sometimes ushabiki unakuzidiAnashukuru kuacha kufanya kazi chini ya jiwe.
Wewe sometimes ushabiki unakuzidi
Upuuzi mtupuKatiba ya CCM ni ya muungano tuliunganisha vyama na katiba za Tanu Na ASP tukaja na katiba ya muungano ya CCM
Tatizo watu walikabidhi akili zote kwa kigogo wa twiterImekuaje huyu Mbarawa akatupwa mbali kule wakati kuna wadau humu walisema ni kipenz cha jiwe
Tatizo watu walikabidhi akili zote kwa kigogo wa twiter
U
Mndengereko mwingine anaenda kutawala Zanzibar!
Yah nadhani hata hii ya kumchagua Hussein itakua seminar elekezi kabambe walipigwa haiwezi kuwa hivi hivi. Waafrica tunajuana bana lazima mpunga mnene umetembea. Japo inaonekana kama ni jambo lilifonyika kwa uwazi.Hakuna nakuambia,ingekuwa hatarii.Wajumbe wengi hawampendi Magufuli ni vile wanamuogopa tu.
....Membe hajaitendea haki nchi.....Mimi binafsi nilisema Membe kachemka kafanya maamuzi kwa hasira na mihemko kakosea
Nilikuja gundua baadaye kuwa Alikuwa na genge la ku mi slead vyombo vya usalama na public waamini Kuna something very wrong ndani ya CCM na serikali kumbe mwongo na kuwa Kuna mkono fulani wa nchi fulani kwa sababu fulani ikaja gundulika kuwa muongo hiyo iliua credibility yake for good.Hakuitendea haki nchi kuweka majungu kwenye issue nzito zilizo mislead wengi haikuwa sahihi
Membe hajaitendea haki Nchi serious
Tunashukuru Raisi Magufuli kusimamama kidete bila kutetereka Issue ya Membe
Kwa mtindo huu Raisi wa miaka ijayo atakua Jurgen Magufuli. Ila naona ni mataifa mengi hii hali ipo hivi it seems as ni blood line thing
Yah nadhani hata hii ya kumchagua Hussein itakua seminar elekezi kabambe walipigwa haiwezi kuwa hivi hivi. Waafrica tunajuana bana lazima mpunga mnene umetembea. Japo inaonekana kama ni jambo lilifonyika kwa uwazi.
Kalpana mrembo wetu wapemba twasema HALITAKI HATA TOCHI....Yah nadhani hata hii ya kumchagua Hussein itakua seminar elekezi kabambe walipigwa haiwezi kuwa hivi hivi. Waafrica tunajuana bana lazima mpunga mnene umetembea. Japo inaonekana kama ni jambo lilifonyika kwa uwazi.
Lipo wazi tangu zamani mbona thus mzee wake aliridhia katiba ibadilishwe jiwe atawale mileleYah nadhani hata hii ya kumchagua Hussein itakua seminar elekezi kabambe walipigwa haiwezi kuwa hivi hivi. Waafrica tunajuana bana lazima mpunga mnene umetembea. Japo inaonekana kama ni jambo lilifonyika kwa uwazi.
....Membe hajaitendea haki nchi.....
OOhooooo CHEZA NA YOTE SI CCM yetu......
OhoooooLipo wazi tangu zamani mbona thus mzee wake aliridhia katiba ibadilishwe jiwe atawale milele
Ccm naowajua wakitaka mtu fulani atapita hata kwa kupindua meza. Mm nilimuona yule Doc kama yuko matured kidogo kuliko mwinyiKalpana mrembo wetu wapemba twasema HALITAKI HATA TOCHI....
Mchakato ulikuwa penuuu peupeee yailahiii