Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Kwa sababu hiyo hiyo, ndio maana Mbarawa hakuingia kwenye 3 bora. Kama angeingia kwenye 3 bora, angekuwa tishio kwa chagua lao (Mwinyi). Kura ingeweza kulalia upande wowote.
Yes Mbarawa kwa Mwinyi ingekuwa mtifuano mkali ndio maana wamemla kichwa mapema.
 
Duuuuh leo mzee mwinyi huko aliko anafurahi hadi jino la mwisho. Mmmmmmh usultan mamboleo mxieeeeeeeeew
 
Uchaguzi ushaisha as far as CCM is concerned mtu akishateuliwa kupeperusha bendera yao wanachama wao wote wanatakiwa kuunga mkono.

Ukizangatia ushindi wenyewe ulikuwa wa kishindo it doesn’t matter anymore kwa wapiga kelele kama mimi he was the worthy winner in the end given the margin.
 
Mungu hapendelei kiumbe yeyote , hayo ni makosa

Makosa uyasemayo siyaamini personally.

Kitabu ninachokiamini Mimi kinasema "nikawafadhilisha wana wa Israel juu ya viumbe wote(alaal aalamiin).

Usifanye KOSA ukaamini ninachoamini😄😄😄
 
Makosa uyasemayo siyaamini personally.

Kitabu ninachokiamini Mimi kinasema "nikawafadhilisha wana wa Israel juu ya viumbe wote(alaal aalamiin).

Usifanye KOSA ukaamini ninachoamini😄😄😄

Upendeleo ndio fadhila ??
 
Ngoja nichinje jogoo langu, nimefurahi sana, Go Mwinyi Go!!
CCM mbele kwa mbele.
 

siku zote ktk michakato ya kutafuta candidates awe rais wa znz , basi lazima huwa kuna influence ya mkopo usioonekana.
 
Ngoja nichinje jogoo langu, nimefurahi sanaaaaaaaa, Go Mwinyi Gooooooooooooooooo,
CCM mbele kwa mbele.

Wallahi thumma wallahi hyo kazi ya kuchinja nipe mm...nikimaliza tu naondoka kwenda kujiuzia Al Kasus nilishe wanangu pale kwa Mtogole.
 
Wanzaibari woote mapaka atawale na mtoto? usultani huu sasa
 
Mkuu ya mirembe yanatokea wapi? Mimi nimehoji wao CCM wameamua wala siwezi kubadilisha-wazanzibar ndio wenye uamuzi wa mwisho wakienda na Mwinyi sawa tu.
Ya Mungu kuwapendelea waisrael hayo siyajui. Yaliyobaki ni yako mkuu-tunasubiri tu vibweka vya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…