Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Wenye akili zao wanajuwa kuwa uchaguzi umeshaisha. Wewe subiri october.Bwashee uchaguzi ni October!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili zao wanajuwa kuwa uchaguzi umeshaisha. Wewe subiri october.Bwashee uchaguzi ni October!
Yes Mbarawa kwa Mwinyi ingekuwa mtifuano mkali ndio maana wamemla kichwa mapema.Kwa sababu hiyo hiyo, ndio maana Mbarawa hakuingia kwenye 3 bora. Kama angeingia kwenye 3 bora, angekuwa tishio kwa chagua lao (Mwinyi). Kura ingeweza kulalia upande wowote.
Uchaguzi ushaisha as far as CCM is concerned mtu akishateuliwa kupeperusha bendera yao wanachama wao wote wanatakiwa kuunga mkono.Afanye siasa gani zaidi wakati amekuwa mbunge wa Jimbo la kwahani Unguja kwa vipindi vitatu mfululizo 2005-2020, amekuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa na mjumbe wa kamati kuu ya ccm kutokea Zanzibar kwa muda mrefu sifa hizo zinatosha kuijua siasa ya Zanzibar
Mungu hapendelei kiumbe yeyote , hayo ni makosa
Ni huzuni na masikitiko makubwa kuwa Zanzibar inachaguliwa Rais Dodoma. Inauma sana
Wale wajumbe zaidi ya 200 NEC ya 2015 hawakutarajia atakuwa Magufuli....CCM.. mahali usipotarajia ndio inakuwa
Makosa uyasemayo siyaamini personally.
Kitabu ninachokiamini Mimi kinasema "nikawafadhilisha wana wa Israel juu ya viumbe wote(alaal aalamiin).
Usifanye KOSA ukaamini ninachoamini😄😄😄
Nihu
Ni huzuni na masikitiko makubwa kuwa Zanzibar inachaguliwa Rais Dodoma. Inauma sana
Fadhila Lina asili ya kiarabu...niambie Maana yake ni Nini...Upendeleo ndio fadhila ??
Acha uchochezi.. Wazanzibari wote waliokidhi vigezo walipewa fursa kutia nia. Wazanzibari wenyewe wakachujana, wakaja na majina matano ya 'madereva' ambao waliona wanafaa kuongoza chombo.. Kwa kuwa chombo kiko kimoja na anayehitajika ni dereva mmoja, Dodoma inachofanya ni kuchukua 'yeyote' kati ya wale watano waliochaguliwa na Wazanzibari wenyewe!
Fadhila Lina asili ya kiarabu...niambie Maana yake ni Nini...
Halafu nifafanulie kiswahili Linamaanisha Nini.....
Ngoja nichinje jogoo langu, nimefurahi sanaaaaaaaa, Go Mwinyi Gooooooooooooooooo,
CCM mbele kwa mbele.
Mkuu ya mirembe yanatokea wapi? Mimi nimehoji wao CCM wameamua wala siwezi kubadilisha-wazanzibar ndio wenye uamuzi wa mwisho wakienda na Mwinyi sawa tu.Mbona hushangai Mwenyezi Mungu kuwapendelea wana waISRAEL?!!!
Itakuwa sisi BINADAMU.....
Yaani sijui siasa zenu za kiliberali zenye WISHFUL THINKING ziliasisiwa pale ACUTE WARD NO.14 HOSPITALI YA MIREMBE JIJI LA DODOMA?!!!
Imeisha iyoooo twende na Dr Mwinyi.