Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Yaani katiba ya Zanzibar Imevunjwa openly ,the man was not born in Zanzibar.

Loooh siye wapemba twasema "waso haya na mji wenu"

Zanzibar n'kisiwa na kisiwani hakuna mwenyewee sote n'wakuja kutoka huko uhadimuni bara...sa ndo nkakushangaa makame wafukuani MAKABURI😂😂
 
Sa huyo mgombea unayesema ni "Bora" ni lazima hatakuwa na chama.....

Yaani CHAMA chenye nguvu afrika kikae kikao Cha maamuzi mazito halafu kisipitishe mgombea BORA?!!!!

CDM tu....kilimpitisha mgombea Bora lowassa wakavuna viti vingi vya WABUNGE.....

Kalaghabaho
 
Zanzibar wanataka rais, wabunge chukueni
 
KMKM = Kikosi cha Wanamaji
JKU = Jeshi la Kujenga Uchumi

Hivyo vyote ni Vikosi vya Kimama, Zanzibar hawana Jeshi la Ulinzi
KMKM ni kikosi cha kuzuia magendo.Zanzibar haina jeshi wala polisi na si dola.
 
Hussein Mwinyi ni sawa tu
He is humble kama Baba Yake
Mengine tuwaachie wenyewe
Sitasita kusema 👇🏼
Hongera shem
 
Nyerere alikwama wapi wenzie wanarithisha watoto wao ofisi za ikulu ?
 
Loooh siye wapemba twasema "waso haya na mji wenu"

Zanzibar n'kisiwa na kisiwani hakuna mwenyewee sote n'wakuja kutoka huko uhadimuni bara...sa ndo nkakushangaa makame wafukuani MAKABURI😂😂
We kh*anith+.i utakua kweli mzanzibar. Umenikumbusha rafki yangu kake hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akili za usiku hizi.
Upinzani utaendelea kweli kwa style hii za watu km wewe. What if maalim au mpinzani akishinda utasema kapitishwa dodoma. Ccm wamempitisha mgombea wao kwa upande wa znz na sio rais. Nina imani upinzani wanaweza kushinda na mgombea wa ccm akashindwa. Akishindwa wa ccm, uje uandike kuwa rais wa znz kashindwa. Mbona mnawapa kichwa ccm kuwa mgomea wao tayari rais? sasa kwa nini tupige kura?
 
Mgombea urais Tanzania apita bila kushindana na yeyote yule, hakuna aliyethubutu kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa , Kama hivyo ndivyo ,anaachiwa amalize muda wake fomu alichukua ya nini si angepitishwa tu. Zanzibar inachaguliwa mgombea bara ? Hongera chama kikongwe.
 
Tatizo lao wanageza jinsi Mwamba anavyopitishagwa bila kupingwa.
 
Aisee kuna Tanganyika na zanzibar neno Tanzania ni umoja ya hayo
 
Nyerere alikwama wapi wenzie wanarithisha watoto wao ofisi za ikulu ?
Na hili naamini limefungua ukurasa ...
Lazima litajirudia mbeleni na litawapa kiburi endapo watakataliwa na huu utakuwa ushuhuda kwao
 
Hiyo nakubalina na wewe, ila nadhani kinachotokea upande huo si matakwa ya mgombea.
Nadhani kuna nguvu nyingine inayotoa maamuzi
Matakwa ya mgombea hayawez kuzid msimamo wa taasis anayoitumikia.
 
Nmepokea pongezi toka kwa jamaa zangu wawili waliopo kisiwandui na mmoja aliyeko mchamba wima akishukuru kuwa tumewachagulia Rais ambaye ata enzi Muungano pasipo shaka.

Jamaa mmoja tu wa Makunduchi ndo ametokwa na povu la hasira.lakini anashindwa kuelewa sisi Mwinyi tunamfahamu.tumemkuza huku na kumjenga hivyo ni wazi anafaa kwenda kuongoza Zanzibar.

Zanzibar ni tuvisiwa ambavyo tupo karibu yetu sana na tunajua tusipokuwa makini waarabu wanaweza kurudi pale na ikawa hatari ukanda huu wa Afrika Mashariki kwa mambo ya Ugaidi n.k ndo maana tunajitahidi kuhakikisha Mkoloni harudi tena Zanzibar kwa kisingizio chochote kile.

Tunashukuru pia kwa wajumbe wa Zanzibar kufuata maelekezo ya Mwenyekiti na Wajumbe wake na kufanya mlichoambiwa. Dunia nzima ifahamu kuna nchi inaitwa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…