Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Y
Nimekosea mkuu,niwie radhi.
Majungu kivipi mkuu
Nimekosea mkuu,niwie radhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majungu kivipi mkuu
Yaani katiba ya Zanzibar Imevunjwa openly ,the man was not born in Zanzibar.
Hawana jeshi Zanzibar.
Au vile vikosi vya KMKM na JKU vinakuzingua!!!
Sa huyo mgombea unayesema ni "Bora" ni lazima hatakuwa na chama.....Aliyetakiwa na ccm bara ni Dr.Hussein Mwinyi, haikuwa anatafutwa mtu bora kwa Zanzibar.
Na nilazima awe rais wa Zanzibar kwasababu haitajiki anayeshinda kwa wingi wa kura, bali mshindi ni yule atakayetangazwa na tume ya uchaguzi.
Wasiotaka wataambiwa waende mahakamani, maana tunaambiwa mahakama ziko huru na ndizo zinatoa haki.
Na mahakama haiangalii kura ngapi inaangalia hoja za aliyeshitaki.
Zanzibar wanataka rais, wabunge chukueniSa huyo mgombea unayesema ni "Bora" ni lazima hatakuwa na chama.....
Yaani CHAMA chenye nguvu afrika kikae kikao Cha maamuzi mazito halafu kisipitishe mgombea BORA?!!!!
CDM tu....kilimpitisha mgombea Bora lowassa wakavuna viti vingi vya WABUNGE.....
Kalaghabaho
KMKM ni kikosi cha kuzuia magendo.Zanzibar haina jeshi wala polisi na si dola.KMKM = Kikosi cha Wanamaji
JKU = Jeshi la Kujenga Uchumi
Hivyo vyote ni Vikosi vya Kimama, Zanzibar hawana Jeshi la Ulinzi
We kh*anith+.i utakua kweli mzanzibar. Umenikumbusha rafki yangu kake hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Loooh siye wapemba twasema "waso haya na mji wenu"
Zanzibar n'kisiwa na kisiwani hakuna mwenyewee sote n'wakuja kutoka huko uhadimuni bara...sa ndo nkakushangaa makame wafukuani MAKABURI😂😂
Akili za usiku hizi.Wazanzibari hata siwaelewi; yaani wana jeshi, mahakama, wimbo wa taifa lao, na bunge.
Lakini pamoja na mbwembwe zao zote hizo, Rais wao anachaguliwa Dodoma, Tanzania Bara, sijui wanakwama wapi?!.
Hii ni sawa na baba wa familia kuwa na nyumba yako, unaacha pesa ya matumizi kila siku, lakini chakula kinapikwa kwa jirani, na umeshazoea kwenda kula huko.
Tatizo lao wanageza jinsi Mwamba anavyopitishagwa bila kupingwa.Mgombea urais Tanzania and pita bila kushindana na yeyote yule, hakuna aliyethubutu kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa , Kama hivyo ndivyo ,anaachiwa amalize muda wake fomu alichukua ya nini si angepitishwa tu. Zanzibar inachaguliwa mgombea bara ? Hongera chama kikongwe.View attachment 1503020View attachment 1503021
HahahahaNyerere alikwama wapi wenzie wanarithisha watoto wao ofisi za ikulu ?
Na hili naamini limefungua ukurasa ...Nyerere alikwama wapi wenzie wanarithisha watoto wao ofisi za ikulu ?
Walijaribu kuingizwa kwenye mfumo lkn ilishindikana .Nyerere alikwama wapi wenzie wanarithisha watoto wao ofisi za ikulu ?
Matakwa ya mgombea hayawez kuzid msimamo wa taasis anayoitumikia.Hiyo nakubalina na wewe, ila nadhani kinachotokea upande huo si matakwa ya mgombea.
Nadhani kuna nguvu nyingine inayotoa maamuzi
Labda Kwa sabab anabebeka.Mtoto wa mwinyi kabebwa sana