Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Si maisha ni watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lilolopo bila kupepesa macho, nchi hii ujinga umetamalaki, elimu duni...hilo liko wazi raia hawajitambui.
define plsMzanzibar PASEE
Wapiga kura walikua 164, wazanzibari wako 35 katika wapiga Kura wote,
hakuna kura iliyoharibika,
129 + 35 =164,
Umegundua nini hapa ?
KURA za Dkt. Khalid 19
KURA za Shamsi 16
Jumla 35 👉🏽 Zanzibar
Hussein Mwinyi 129 zote za Bara. https://t.co/hsV8JwuDH8
Uchambuzi mzuri. Ina maana HM hakubaliki kabisa ZNZWapiga kura walikua 164, wazanzibari wako 35 katika wapiga Kura wote,
hakuna kura iliyoharibika,
129 + 35 =164,
Umegundua nini hapa ?
KURA za Dkt. Khalid 19
KURA za Shamsi 16
Jumla 35 👉🏽 Zanzibar
Hussein Mwinyi 129 zote za Bara. https://t.co/hsV8JwuDH8
means wazanzibar hawamtaki Mwinyi! johnthebaptistWapiga kura walikua 164, wazanzibari wako 35 katika wapiga Kura wote,
hakuna kura iliyoharibika,
129 + 35 =164,
Umegundua nini hapa ?
KURA za Dkt. Khalid 19
KURA za Shamsi 16
Jumla 35 👉🏽 Zanzibar
Hussein Mwinyi 129 zote za Bara. https://t.co/hsV8JwuDH8
Kura zilikuwa za siri au za wazi?Wapiga kura walikua 164, wazanzibari wako 35 katika wapiga Kura wote,
hakuna kura iliyoharibika,
129 + 35 =164,
Umegundua nini hapa ?
KURA za Dkt. Khalid 19
KURA za Shamsi 16
Jumla 35 👉🏽 Zanzibar
Hussein Mwinyi 129 zote za Bara. https://t.co/hsV8JwuDH8
Wanec wote wa Zanzibar walimchagua Dr Mwinyi!means wazanzibar hawamtaki Mwinyi! johnthebaptist
Sio kitu ya kuulizameans wazanzibar hawamtaki Mwinyi! johnthebaptist
Uchambuzi mzuri. Ina maana HM hakubaliki kabisa ZNZ