Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

If that is the case, 129/35 then 35/2 disproportionately) , jumuiya ya kimataifa ikisimamia uchaguzi, basi Maalim anapeta na kutabgazwa kama anavyopeta siku zote bila kutangazwa@johnthebaptist
 
Wapiga kura walikua 164, wazanzibari wako 35 katika wapiga Kura wote,
hakuna kura iliyoharibika,
129 + 35 =164,
Umegundua nini hapa ?

KURA za Dkt. Khalid 19
KURA za Shamsi 16
Jumla 35 👉🏽 Zanzibar

Hussein Mwinyi 129 zote za Bara. https://t.co/hsV8JwuDH8

Kama takwimu hizi ni kweli, basi wasiseme amechanguliwa zanzibar, bali waseme ameteuliwana watanzania bara. Ina maana hakubaliki huko znz lakini kwa ajili ya mkuu, basi ameamua kuwawekea mtu anayemta yeye.

NB:
Mods wanaweza ondoa Uzi huu wakati wowote kwani nyuzi za haina hii hawaziachi.
 
Hata vyama vingine utaratibu ni huohuo, hakuna la ajabu hapo
 
CCM bara yaani TANU inawaandalia wazanzibar Rais wao yaani ASP bila wao kujijua.
 
Ukweli ndiyo huu kuhusu mchakato wa kupata mgombea urais wa Zanzibar kupitia CCM kwenye mkutano wa halmashauri kuu ulioketi.

Kura zote zilizopigwa ni 164
Hakuna kura iliyoharibika.
Wajumbe wa halmashauri kuu Tanzania bara walikuwa ni 129.
Wajumbe wa halmashauri kuu Tanzania visiwani walikuwa ni 35
Kura halali za Dkt. Hussein Mwinyi zilikuwa 129.
Dkt. Khalid na Vuai Nahodha wakagawana kura 35 za wajumbe wa Zanzibar.


Maendeleo hayana vyama.
 
Zanzibar wataendelea kuchaguliwa na watanganyika mpaka Siku ya kihama
 
Back
Top Bottom