Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Halmasgauri kuu imempitisha ndugu Hussein mwinyi kuwa mgombea wa urais zanzibar
 
images (31).jpeg
 
Nchi imepoa Kama tupo msibani hata ile propaganda ya uchumi wa chini Kati imebuma kabla ya kampeni
 
Obvious! Nilishaliona hili toka mapema, like father like son!
 
Mzoefu huyo......

Amekaa nafasi nyeti WIZARA YA ULINZI kwa muda mrefu....

Kazi inaendelea kumnadi mgombea wetu huyu.

Viva CCM
Hasta la Victoria CCM
Siempre Siempre CCM
Aluta continua CCM.
 
Sasa apimwe kama atafaa kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano 2025.
Akili zako zimekuwa na kiherehere kilichopitiliza. 2025 ni mbali sana kisiasa lolote linaweza kutokea hasa kwa hali ya siasa za sasa za Tanzania.
 
Back
Top Bottom