Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

unampongeza Mwinyi kuwa rais kwani uchafuzi - uchaguzi umeshafanyika? vp wewe? kuna rangi ya zambarau inawafuasi asilimia 75% kule zenj empire kuljo rangi mbaya ya kijani .
Tanzania serikali haitolewi kwa vikaratasi vya kupigia kura.
 
Ndo maana tunasema huu MUUNGANO NI FAKE kwa 100%!
Nchi yenye Serikali mbili na Marais wawili:
(1). Serikali ya JMT......Rais Jiwe.
(2). Serikali ya BMZ.....Rais Shein.
Lakini maamuzi yote ya Serikali zote 2 yanafanywa na mtu mmoja Dikteta Jiwe!!
Upuuzi mtupu!
Kumbe jiwe ndio a na tawala tangu Muangano
 
Membe hana akili kabisa. Alitakiwa asijitoe CCM ili asikilizie leo wangesemaje .Naona wamemsamehe Kinana.Membe alitakiwa ajifanye kondoo aombe msamaha. Wamsamehe then hapo hapo anachukua form. Membe hajui kucheza Pele.
Ww ndio una Akili kuna msemo unasema wagawanye ili uwa tawale baada ya Anko Magu kupata ushindi wa kishindo Mzee Wetu Membe atarudi nyumbani kwa kishindo...
 
Leo tena wameendelea kufanya yaleyale kupitia ukurasa wao rasmi wa Facebook ambapo wameripoti kuwa Jina la Mh Magufuli limepitishwa kugombea Urais Tanzania BARA.

Hivi ni kweli kwamba Magufuli kapitishwa kuwa mgombea Tanzania Bara au kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM?

Inamaana hawatambui kuwa Urais wa Mh Magufuli unafika mpaka visiwani? Jeuri hii wanaitoa wapi?
IMG_20200710_161437_803.JPG
 
Hatua ya pili ni kuwa atakubalika na kupewa heshima na kila mpenda haki iwapo atakubali kushindwa hadharani kwenye huu uchaguzi
Hiyo nakubalina na wewe, ila nadhani kinachotokea upande huo si matakwa ya mgombea.
Nadhani kuna nguvu nyingine inayotoa maamuzi
 
Marais wa Zanzibar

1) Abeid Amani Karumbe
2) Ali Hassan Mwinyi
3)Abood Jumbe Mwinyi
4) Idris Abdul-Wakil Nombe
5) Salim Amour
6) Amani Abeid Karume
7) Mohamed Ali Shein na hata wewe Hussein Ali Hassan Mwinyi naamini utachaguwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar
 
Msaliti Silinde hatakiwi huko Momba na Songwe. Makubwa haya. Ila navyoelewa hulka za JPM pale mnapojaribu kumkosoa , yeye anafanya vile vile ninyi msivyopenda. So , ni wazi Silinde atazawadiwa ubunge huko Momba wapende wasipende.
 
Kalpana hebu ifafanue hyo maturity tujibwedee hapa....
Nilivyosikiliza CV yake nimeona ameanza kukitumikia chama zamani na serikali kwa ujumla. Au nafasi hii unatakiwa uwe umetumia muda mwingi kwny uongozi ktk nafasi za kisiasa?
 
Naaaaah, Nahodha lazima achukue, nilimpa Makame ila kakosa basi tena.. Sasa Nahodha is better kuliko Mwinyi by far.
Aliyetakiwa na ccm bara ni Dr.Hussein Mwinyi, haikuwa anatafutwa mtu bora kwa Zanzibar.
Na nilazima awe rais wa Zanzibar kwasababu haitajiki anayeshinda kwa wingi wa kura, bali mshindi ni yule atakayetangazwa na tume ya uchaguzi.
Wasiotaka wataambiwa waende mahakamani, maana tunaambiwa mahakama ziko huru na ndizo zinatoa haki.
Na mahakama haiangalii kura ngapi inaangalia hoja za aliyeshitaki.
 
Back
Top Bottom