Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cCM....CCM....CCM.............SHIKA PATAAAAAMUCcm....ccm....ccm.....shika hataaamu!!
Yeh JK kafunika ndugu!! CHADEMA HAWANA CHAO MWAKA HUUany updates kwa mlio arusha??
Yeh JK kafunikwa ndugu!!
Wanajimu wanadai leo ataanguka Arusha! Labda abaki kwenye gari ila akipanda kwenye mimbali ...Aiseeeeeeeee! Picha picha jamani
jamani nipo uwanjani me nilikuwa naona tu kwenye tv campeni za CCM lakini hamna kitu mpaka watu wanaenda kukodishwa aisee je wanalipwa au wanapewa maji tu na biskuti tujiangalie watanzania tubadilike tujue wapi tunakwenda bado dakika 8 campeni zikwishe sijui imekuwaje poleni CCM hayo ni yangu kwa leo
aisee ni aibu sana kwa utaratibu wa CCM arusha sijui kwingine ndo kampeni ndo zimeanza sasa hivi sijui anamuda wa kutuambia kilichopo kwenye ilani ya CCM na sijui atatumia muda gani its real crazy wanajamiiany updates kwa mlio arusha??
Wakuu leo Mheshimiwa J Kikwete anatarajiwa kufanya mkutano wa kampeni mjini Arusha muda wa saa 10 jioni kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sheckh Amri Abeid.Tayari shamra shamra za mkutano wake wa kampeni zimeshaanza tangu saa 3 asubuhi,Mabasi yamekuwa yakifanya kazi ya kusomba watu kutoka maeneo ya Monduli,Simanjiro,Arumeru,Kia,Nduruma na maeneo mbali mbali nje ya mji wa Arusha.
Nimeshuhudia vikundi vingi vya kwaya,ngoma na wanamuziki wa kizazi kipya wakijumushwa kwenye kampeni za Mungwana.Nimejaribu kuangalia gharama za kufanikisha kampeni kwa kukisia mji wa Arusha pekee si chini ya tsh 200 milioni.Upande wa sare, bendera na picha za wagombea udiwani,ubunge na urais ni wakushangaza.
Wakuu hivi hakuna namna tunaweza kufanya kampeni zetu bila kutumia gharama kubwa ?.Kwanini hizi fedha hazipelekwi kwa wananchi kutatua matatizo ya afya,elimu na miundombinu.Vipi sheria ya matumizi wakati wa kampeni inazingatiwa kweli au ni changa la macho tu.