Uchaguzi 2020 Mkutano wa Kimei Vunjo. Sijui atapitaje?

Mtu anaenda kwa maelekezo mzee...
Kwamba atashinda vipi.. watu wapo wa kujaziliza panapokwama...
 
Ukisikia kuvamia fani ndiko huku, wewe umekuwa fundi Bomba miaka nenda rudi, ghafla bin vuu uzeeni ati unataka kuwa fundi umeme....wapi na wapi.
Akiingia bungeni kazi ni kugonga meza na huku amesinzia, hawezi kujua huu mswada ukipita utaathiri vip kizazi kijacho
 
Makamanda bwana,yani wao mpaka waone watu wamejaa wanaona ndo kipimo cha ushindi.
 
Wajumbe walifanya maamuzi yao kwa "level" yao na kwa wakati wao, lkn wajumbe wa KK ya halmashauri kuu ya taifa wakaona hawakuwa sahihi. Sasa ndiyo muda wa kupata kutambua ni wajumbe gani haswa walikuwa sahihi. Mashabiki wa kukubalika kwa sifa halisi za mpeperusha bendera ama mashabiki wa PhD.
 
Huyu jamaa sijui atapitaje sioni njia ya kupita.

Natamani sana huyu mzee apite hana maneno mengi siyo kama yule Mbatia hajaleta kitu chochote.
Huo ni mkutano wa kimei au ni kamati ya ardhi ya mtaa imekitana?
 
Charles Kimei hajulikani jimbo la vunjo na Kitendo cha halmashauri Kuu ya Kamati kuu ya CCM kukata Jina la inock koola zadock mtoto wa Tajiri wa kimarangu Mzee Koola(Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura Za maoni imeigawanyisha CCM jimboni vunjo pande mbili, wanao muunga mkono kimei na wale walichukizwa na kitendo cha koola kukatwa. Palikuwa hakuna shamrashara kimei alivyotangazwa kama mgombea wa ubunge CCM vunjo. Pili, kulazimishwa kustaafu CRDB, wananchi wa vunjo wanajua Magufuli alishauri astaafu kuliko kutumbuliwa kwa kashfa ya kulipwa mil 45 kwa mwezi. Hawa ndio wale waliomchukiza magufuli kwa kulipwa zaidi ya mil 40 kwa mwezi na alisema hadharani. James Mbatia alivyoshinda ubunge 2015 alilikacha jimbo na hakufanya kitu na alikuwa anaonekana kwa nadra sana jimboni humo. Alichangisha kila kaya 20,000 Za kuchonga barabara Jambo ambalo halikulitekeleza na limewaudhi wananchi jimboni humo. Jambo jingine ni kwamba mbatia ushindi wake wa 2015 ulibebwa na ukawa na dhana kwamba lowassa angekuwa Rais na mbatia kuwa waziri lakini hicho kitu hakipo kwa sasa kila chama kinajigemea hata Chadema ilimsaidia ashinde 2015, mwaka huu wameweka mgombea grace kiwelo.

MREMA ANASHIDA MAPEMA TU
 
labda huyo Mrema ashinde njaa.
 
Aspopita nipigwe ban ya mwaka hapa
Paul Silly, hujihurumii? Unaonyesha kiwango hatari sana cha ukiliza! Hata kama ni lile suala lenu la kupalilia uteuzi hii sasa too much. Kuna vigezo vya mtu kupita uchaguzi. Vikifuatwa huyo jamaa hana lake. Wote wenye akili wanaelewa haiwezekani kabisa. Wewe, hamnazo, unaapa bila ya kutaja kigezo kitakachotumika. Bao la mkono au mpinzani kuuza kura sio jambo linalojadiliwa na great thinkers. Wote tunajua huyu ni mgombea wa Jiwe na Mkurugenzi ni wa Jiwe pia. Na yule mwingine aliitwa na Jiwe kunako. Wakateta. Akatoka na tabasamu. Kapokelewa 'ikulu ya Chalamila'. Hakuwa mpinzani tena. Wenye akili wanasubiri kuona ni furaha ipi aliahidiwa kuzidi ubunge wa Vunjo. Ban jiwekee mwenyewe. Hufai kuwa hapa, Silly.
 
Labda wangempitisha bila kupingwa kwa hali ya sasa hawezi kushinda kwa sababu watz sio wajinga
 
Ukisikia kuvamia fani ndiko huku, wewe umekuwa fundi Bomba miaka nenda rudi, ghafla bin vuu uzeeni ati unataka kuwa fundi umeme....wapi na wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Paul Silly, hujihurumii? Unaonyesha kiwango hatari sana cha ukiliza! Hata kama ni lile suala lenu la kupalilia uteuzi hii sasa too much. Kuna vigezo vya mtu kupita uchaguzi. Vikifuatwa huyo jamaa hana lake. Wote wenye akili wanaelewa haiwezekani kabisa. Wewe, hamnazo, unaapa bila ya kutaja kigezo kitakachotumika. Bao la mkono au mpinzani kuuza kura sio jambo linalojadiliwa na great thinkers. Wote tunajua huyu ni mgombea wa Jiwe na Mkurugenzi ni wa Jiwe pia. Na yule mwingine aliitwa na Jiwe kunako. Wakateta. Akatoka na tabasamu. Kapokelewa 'ikulu ya Chalamila'. Hakuwa mpinzani tena. Wenye akili wanasubiri kuona ni furaha ipi aliahidiwa kuzidi ubunge wa Vunjo. Ban jiwekee mwenyewe. Hufai kuwa hapa, Silly.
Huwezi kuanza kuanza ujenzi kabla ya kupiga gharama za ujenzi huo! Hiyo ndio tofauti ya wanaendelea kufanikiwa na watu wenye sikio la Liga!!

Na jina langu Mimi, andika kama lilivyo tu mkuu, yanini kuandikana majina ambayo hayaeleweki na Wakati huohuo najua chuki zetu huwa sio za kuchukua muda mreefu, na ndio Raha ya kuzaliwa Tanzania mkuu
 
Huyo anapita mapema tuu kwan ni chaguo la mkulu
 
Paul Silly, hujihurumii? Unaonyesha kiwango hatari sana cha ukiliza! Hata kama ni lile suala lenu la kupalilia uteuzi hii sasa too much. Kuna vigezo vya mtu kupita uchaguzi. Vikifuatwa huyo jamaa hana lake. Wote wenye akili wanaelewa haiwezekani kabisa. Wewe, hamnazo, unaapa bila ya kutaja kigezo kitakachotumika. Bao la mkono au mpinzani kuuza kura sio jambo linalojadiliwa na great thinkers. Wote tunajua huyu ni mgombea wa Jiwe na Mkurugenzi ni wa Jiwe pia. Na yule mwingine aliitwa na Jiwe kunako. Wakateta. Akatoka na tabasamu. Kapokelewa 'ikulu ya Chalamila'. Hakuwa mpinzani tena. Wenye akili wanasubiri kuona ni furaha ipi aliahidiwa kuzidi ubunge wa Vunjo. Ban jiwekee mwenyewe. Hufai kuwa hapa, Silly.
we una stress zako
 
Back
Top Bottom