Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiingia bungeni kazi ni kugonga meza na huku amesinzia, hawezi kujua huu mswada ukipita utaathiri vip kizazi kijachoUkisikia kuvamia fani ndiko huku, wewe umekuwa fundi Bomba miaka nenda rudi, ghafla bin vuu uzeeni ati unataka kuwa fundi umeme....wapi na wapi.
hiyo avatar ni wewe?Kama picha imegoma kwakweli hawezi kupita
Mbatia aliandaliwa na CCM hakujua kuwa wanamuuza kiaanaHuyu jamaa sijui atapitaje sioni njia ya kupita.
Natamani sana huyu mzee apite hana maneno mengi siyo kama yule Mbatia hajaleta kitu chochote.
Duh...!.hiyo avatar ni wewe?
Huo ni mkutano wa kimei au ni kamati ya ardhi ya mtaa imekitana?Huyu jamaa sijui atapitaje sioni njia ya kupita.
Natamani sana huyu mzee apite hana maneno mengi siyo kama yule Mbatia hajaleta kitu chochote.
Unaijua hii moshi au unajitekenya tu.moshi cyo bahi,chembakupita kwake ni swala lililowazi ila hana muitikio kabisa
labda huyo Mrema ashinde njaa.Charles Kimei hajulikani jimbo la vunjo na Kitendo cha halmashauri Kuu ya Kamati kuu ya CCM kukata Jina la inock koola zadock mtoto wa Tajiri wa kimarangu Mzee Koola(Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura Za maoni imeigawanyisha CCM jimboni vunjo pande mbili, wanao muunga mkono kimei na wale walichukizwa na kitendo cha koola kukatwa. Palikuwa hakuna shamrashara kimei alivyotangazwa kama mgombea wa ubunge CCM vunjo. Pili, kulazimishwa kustaafu CRDB, wananchi wa vunjo wanajua Magufuli alishauri astaafu kuliko kutumbuliwa kwa kashfa ya kulipwa mil 45 kwa mwezi. Hawa ndio wale waliomchukiza magufuli kwa kulipwa zaidi ya mil 40 kwa mwezi na alisema hadharani. James Mbatia alivyoshinda ubunge 2015 alilikacha jimbo na hakufanya kitu na alikuwa anaonekana kwa nadra sana jimboni humo. Alichangisha kila kaya 20,000 Za kuchonga barabara Jambo ambalo halikulitekeleza na limewaudhi wananchi jimboni humo. Jambo jingine ni kwamba mbatia ushindi wake wa 2015 ulibebwa na ukawa na dhana kwamba lowassa angekuwa Rais na mbatia kuwa waziri lakini hicho kitu hakipo kwa sasa kila chama kinajigemea hata Chadema ilimsaidia ashinde 2015, mwaka huu wameweka mgombea grace kiwelo.
MREMA ANASHIDA MAPEMA TU
Paul Silly, hujihurumii? Unaonyesha kiwango hatari sana cha ukiliza! Hata kama ni lile suala lenu la kupalilia uteuzi hii sasa too much. Kuna vigezo vya mtu kupita uchaguzi. Vikifuatwa huyo jamaa hana lake. Wote wenye akili wanaelewa haiwezekani kabisa. Wewe, hamnazo, unaapa bila ya kutaja kigezo kitakachotumika. Bao la mkono au mpinzani kuuza kura sio jambo linalojadiliwa na great thinkers. Wote tunajua huyu ni mgombea wa Jiwe na Mkurugenzi ni wa Jiwe pia. Na yule mwingine aliitwa na Jiwe kunako. Wakateta. Akatoka na tabasamu. Kapokelewa 'ikulu ya Chalamila'. Hakuwa mpinzani tena. Wenye akili wanasubiri kuona ni furaha ipi aliahidiwa kuzidi ubunge wa Vunjo. Ban jiwekee mwenyewe. Hufai kuwa hapa, Silly.Aspopita nipigwe ban ya mwaka hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia kuvamia fani ndiko huku, wewe umekuwa fundi Bomba miaka nenda rudi, ghafla bin vuu uzeeni ati unataka kuwa fundi umeme....wapi na wapi.
Huwezi kuanza kuanza ujenzi kabla ya kupiga gharama za ujenzi huo! Hiyo ndio tofauti ya wanaendelea kufanikiwa na watu wenye sikio la Liga!!Paul Silly, hujihurumii? Unaonyesha kiwango hatari sana cha ukiliza! Hata kama ni lile suala lenu la kupalilia uteuzi hii sasa too much. Kuna vigezo vya mtu kupita uchaguzi. Vikifuatwa huyo jamaa hana lake. Wote wenye akili wanaelewa haiwezekani kabisa. Wewe, hamnazo, unaapa bila ya kutaja kigezo kitakachotumika. Bao la mkono au mpinzani kuuza kura sio jambo linalojadiliwa na great thinkers. Wote tunajua huyu ni mgombea wa Jiwe na Mkurugenzi ni wa Jiwe pia. Na yule mwingine aliitwa na Jiwe kunako. Wakateta. Akatoka na tabasamu. Kapokelewa 'ikulu ya Chalamila'. Hakuwa mpinzani tena. Wenye akili wanasubiri kuona ni furaha ipi aliahidiwa kuzidi ubunge wa Vunjo. Ban jiwekee mwenyewe. Hufai kuwa hapa, Silly.
we una stress zakoPaul Silly, hujihurumii? Unaonyesha kiwango hatari sana cha ukiliza! Hata kama ni lile suala lenu la kupalilia uteuzi hii sasa too much. Kuna vigezo vya mtu kupita uchaguzi. Vikifuatwa huyo jamaa hana lake. Wote wenye akili wanaelewa haiwezekani kabisa. Wewe, hamnazo, unaapa bila ya kutaja kigezo kitakachotumika. Bao la mkono au mpinzani kuuza kura sio jambo linalojadiliwa na great thinkers. Wote tunajua huyu ni mgombea wa Jiwe na Mkurugenzi ni wa Jiwe pia. Na yule mwingine aliitwa na Jiwe kunako. Wakateta. Akatoka na tabasamu. Kapokelewa 'ikulu ya Chalamila'. Hakuwa mpinzani tena. Wenye akili wanasubiri kuona ni furaha ipi aliahidiwa kuzidi ubunge wa Vunjo. Ban jiwekee mwenyewe. Hufai kuwa hapa, Silly.