Mkutano wa maridhiano wa vyama vya siasa wameridhiana nini au ni siri?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Ni kawaida baada ya kikao chochote hasa kinachohusu masuala ya jamii nzima kutoa ‘press release’ au kukutana na waandishi wa habari na wadau, at least, kuwa-brief kilichojiri.

Kwenye kikao cha Kitaifa cha Maridhiano, Haki na Amani kilichokaa Dodoma juzi, hatujasikia wameridhiana nini au wameridhiana kutoridhiana, maana Prof. Lipumba mmoja wa wajumbe alisema hawakuituma Task Force kupeleka walichopeleka kwa Rais. Mwenye kujua, tafadhali.
 
Walitaka maridhiano lakini wanakimbia abcd za maridhiano
 
Ina maana ule ulikuwa ni mkutano wa siri "classified" ambao majadiliano na makubaliano yake hayapaswi kuwafikia wananchi wote?
Walichokubaliana sio lazima kitangazwe sababu mengine wakiongea yanatakiwa kupelekwa kwenye vikao vya vyama vyao kwanza kupata baraka za vikao vya chama husika vikiridhia ndipo yatangazwe

Sasa kama chama kilisusa kwenda Non of their business ya nini kiliongelewa
 
Acha USHAMBENGA mtoto wa kiume. Miaka 9 ya UDALALI kwa mama ndivyo walicho ridhiana na ndio agenda KUU.
 
Vikao vya vyama vitatoaje baraka zao kabla wanachama walio wengi hawajatoa maoni yao kupitia majukwaa mbalimbali kama redio, TV na mitandao ya kijamii?

Halafu yale yaliyozungumziwa pale yalikuwa yanahusu vyama tu? Mbona tuliwaona viongozi wa dini, NGOs, taasisi za sheria na mabalozi?

Walichokubaliana sio lazima kitangazwe sababu mengine wakiongea yanatakiwa kupelekwa kwenye vikao vya vyama vyao kwanza kupata baraka za vikao vya chama husika vikiridhia ndipo yatangazwe

Sasa kama chama kilisusa kwenda Non of their business ya nini kiliongelewa
 
Ni kawaida baada ya kikao chochote hasa kinachohusu masuala ya jamii nzima kutoa ‘press release’ au kukutana na waandishi wa habari na wadau, at least, kuwa-brief kilichojiri...
Taarfa ziko makao makuu ya CCM ukihitaji nenda huko.
 
Vikao vya vyama vitatoaje baraka zao kabla wanachama walio wengi hawajatoa maoni yao kupitia majukwaa mbalimbali kama redio, TV na mitandao ya kijamii?
Halafu yale yaliyozungumziwa pale yalikuwa yanahusu vyama tu? Mbona tuliwaona viongozi wa dini, NGOs, taasisi za sheria na mabalozi?
Hapo ndipo siasa za Bongoland zinapokuwa kuchefuchefu
 
Hamkwenda Chadema halafu mnakuja humu kuulizia eti wameongea nini si mngeenda

Watu wanauliza mlichoridhiana maana nyie wenyewe ndio mlikuja huku na kusema mna mkutano. Ilitakiwa muitane kwa siri ili watu wasihoji huo utapeli wenu.
 
Back
Top Bottom