Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Walilipwa posho baadae wakapiga na pichaNi kawaida baada ya kikao chochote hasa kinachohusu masuala ya jamii nzima kutoa ‘press release’ au kukutana na waandishi wa habari na wadau, at least, kuwa-brief kilichojiri.
Kwenye kikao cha Kitaifa cha Maridhiano, Haki na Amani kilichokaa Dodoma juzi, hatujasikia wameridhiana nini au wameridhiana kutoridhiana, maana Prof. Lipumba mmoja wa wajumbe alisema hawakuituma Task Force kupeleka walichopeleka kwa Rais. Mwenye kujua, tafadhali.