Mkutano wa maridhiano wa vyama vya siasa wameridhiana nini au ni siri?

Mkutano wa maridhiano wa vyama vya siasa wameridhiana nini au ni siri?

Naunga hoja ni ujambazi na utapeli, nitabakia na msimamo huu hadi sheria zibadilike tuone kama sasa zinareflect haki na demokrasia. Maridhiano bila ya mabadiliko sheria, hii imekaaje ?
 
Mabavicha bhana..

Mmesusa ila bado mnataka mpewe taarifa kilichojadiliwa!

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kilichoridhiwa anajua zito, mpaka kuamua kuunga juhudi za mama
 
Ni kawaida baada ya kikao chochote hasa kinachohusu masuala ya jamii nzima kutoa ‘press release’ au kukutana na waandishi wa habari na wadau, at least, kuwa-brief kilichojiri.

Kwenye kikao cha Kitaifa cha Maridhiano, Haki na Amani kilichokaa Dodoma juzi, hatujasikia wameridhiana nini au wameridhiana kutoridhiana, maana Prof. Lipumba mmoja wa wajumbe alisema hawakuituma Task Force kupeleka walichopeleka kwa Rais. Mwenye kujua, tafadhali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCM na ACT MBONA NI CHAMA KIMOJA HICHO ?
 
Back
Top Bottom