Walivyomaliza soga zao wakapoteanaKale NI kakikundi ka matapeli ...usitegemee chochote...
🤣🤣🤣Waliridhiana kupiga picha ya pamoja (group photo)
Walitaka maridhiano lakini wanakimbia abcd za maridhianoNi kawaida baada ya kikao chochote hasa kinachohusu masuala ya jamii nzima kutoa ‘press release’ au kukutana na waandishi wa habari na wadau, at least, kuwa-brief kilichojiri.
Kwenye kikao cha Kitaifa cha Maridhiano, Haki na Amani kilichokaa Dodoma juzi, hatujasikia wameridhiana nini au wameridhiana kutoridhiana, maana Prof. Lipumba mmoja wa wajumbe alisema hawakuituma Task Force kupeleka walichopeleka kwa Rais. Mwenye kujua, tafadhali.
Hamkwenda Chadema halafu mnakuja humu kuulizia eti wameongea nini si mngeendaBila chadema kuwepo kile kilicgofanyina ilikuwa Kitchen Party tu.
Hamkwenda Chadema halafu mnakuja humu kuulizia eti wameongea nini si mngeenda
Walichokubaliana sio lazima kitangazwe sababu mengine wakiongea yanatakiwa kupelekwa kwenye vikao vya vyama vyao kwanza kupata baraka za vikao vya chama husika vikiridhia ndipo yatangazweIna maana ule ulikuwa ni mkutano wa siri "classified" ambao majadiliano na makubaliano yake hayapaswi kuwafikia wananchi wote?
Acha USHAMBENGA mtoto wa kiume. Miaka 9 ya UDALALI kwa mama ndivyo walicho ridhiana na ndio agenda KUU.Walichokubaliana sio lazima kitangazwe sababu mengine wakiongea yanatakiwa kupelekwa kwenye vikao vya vyama vyao kwanza kupata baraka za vikao vya chama husika vikiridhia ndipo yatangazwe
Sasa kama chama kilisusa kwenda Non of their business ya nini kiliongelewa
Walichokubaliana sio lazima kitangazwe sababu mengine wakiongea yanatakiwa kupelekwa kwenye vikao vya vyama vyao kwanza kupata baraka za vikao vya chama husika vikiridhia ndipo yatangazwe
Sasa kama chama kilisusa kwenda Non of their business ya nini kiliongelewa
Akili yako haina akili, agenda ya katiba mpya isubiri, DILI limejamba na mama.Hamkwenda Chadema halafu mnakuja humu kuulizia eti wameongea nini si mngeenda
Taarfa ziko makao makuu ya CCM ukihitaji nenda huko.Ni kawaida baada ya kikao chochote hasa kinachohusu masuala ya jamii nzima kutoa ‘press release’ au kukutana na waandishi wa habari na wadau, at least, kuwa-brief kilichojiri...
Hapo ndipo siasa za Bongoland zinapokuwa kuchefuchefuVikao vya vyama vitatoaje baraka zao kabla wanachama walio wengi hawajatoa maoni yao kupitia majukwaa mbalimbali kama redio, TV na mitandao ya kijamii?
Halafu yale yaliyozungumziwa pale yalikuwa yanahusu vyama tu? Mbona tuliwaona viongozi wa dini, NGOs, taasisi za sheria na mabalozi?
Hamkwenda Chadema halafu mnakuja humu kuulizia eti wameongea nini si mngeenda