Mkutano wa maridhiano wa vyama vya siasa wameridhiana nini au ni siri?

Walilipwa posho baadae wakapiga na picha
 
Hamkwenda Chadema halafu mnakuja humu kuulizia eti wameongea nini si mngeenda
Hawajaenda ndio,na bado wanaotaka kusikia mlichojadili,na kama kweli mnania ya maridhiano bado mtawapa mrejesho, vinginevyo mlienda kupiga soga tu
 
Ilikuwa forum ya jambazi Mahera na wenzake kujipanga kuteka na kuua kama nusu muongo uliopita
 
Samia mwenyewe aliuliza "hivi hasa tunaridhiana kuhusu nini" Zitto akabaki anatoa macho tu
 
Masuala ya tume huru na katiba mpya sio ya vyama ni masuala ya wananchi tuna haki ya kujua, hata brief ya kwamba yanaenda ngazi zingine tungeambiwa.
 
Masuala ya tume huru na katiba mpya sio ya vyama ni masuala ya wananchi tuna haki ya kujua, hata brief ya kwamba yanaenda ngazi zingine tungeambiwa.
Wanaodhani Katiba Mpya ni ya chadema wanapotea.

This is National Agenda
 
Mambo yote yalikuwa Live sasa kama Chadema hamkuhudhuria kwa kususia.
Mnataka feed back ya nini?
Nyinyi ndio rais?
Kaeni msubiri kuitwa na rais!
Wenzenu wanasonga mbele!
 
Mambo yote yalikuwa Live sasa kama Chadema hamkuhudhuria kwa kususia.
Mnataka feed back ya nini?
Nyinyi ndio rais?
Kaeni msubiri kuitwa na rais!
Wenzenu wanasonga mbele!
Imebumaaaa
 
Mambo yote yalikuwa Live sasa kama Chadema hamkuhudhuria kwa kususia.
Mnataka feed back ya nini?
Nyinyi ndio rais?
Kaeni msubiri kuitwa na rais!
Wenzenu wanasonga mbele!
Sio Chadema tu wanaouliza hata rais mwenyewe hajui...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…